Mama Kanumba na matapeli wa freemason

Mama Kanumba na matapeli wa freemason

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,215
Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.

Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.

Screenshot_20260101-195627.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20260101-195627.jpg
    Screenshot_20260101-195627.jpg
    29.4 KB · Views: 13
Movie hyo
Mkuu hapo Kuna watu wanaenda KUPIGWA, tajiri chui sio muigizaji ni mtu kazi kama alivo chief godlove, huyu jama NAE eti ana kanisa la freemason unajiuliza hivi huyu qmetuona sisi matrako, free mason Kenya walifukuzwa kwenye jengo kisa kushindwa kulipa Kodi, hata umeme TU walikua wamekatiwa, Sasa huyu atatushawishije
 
Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.

Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.
Njaa mjini ni fedhsha
 
😄😄.mimi najali shida zangu.
mama kanumba namkubali Kwa kuwa hatapeliwi yeye sawaa tu.
 
Kwenye hy picha sijamuona huyo mama kanumba.

Anyway, hakuna tuzo ya mtesekaji bora, tafuta njia yako ya shortcut unayoona itakupeleka kwenye mafanikio na upite humo
Hujamuona mama KANUMBA mkuu ilihali ni mwanamke pekee aliepo hapo
 
Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.

Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.

View attachment 3523758
Project za TEETH hizo kuwaadaa raia ,hata kina Chief nao ni wamoja wapo...sijawahi kuona TAJIRI ana mikelele.
 
Sijasoma Ila najua umeandika utumbo ambao wamatumbi wanaamini pia
 
Back
Top Bottom