unataka kumwoa mama ako ama demu wa kichagggaaa....mwanaume/mwanamke atamwacha mama ake na baba ake nao watakuwa mwili mmoja na kuanza zizi jipya
vya kawaida sana hivyoSasa waweza kukuta binti wa watu kwao zimepaki evoques, housemaid wa 3, shopping ya vijiko ni dubai, sofa leather, home theater system ni alpine e.t.c.
Sasa wewe na mama ako mnavyoviona mali wenzenu vinapatikana servant quarters! Zaidi zaidi unaweza kufundishwa ku hustle kijana!
sasa dada we si unajua kwenye maisha kuna kupanda na kushuka,unadhani nikishuka takimbilia wp??bi mkubwa wako something is wrong anaendekeza ukabila mpaka leo miaka 50 ya muungano? sasa we ndo unayejua ukweli kuhusu huyu mpenzio miss chagga cha kufanya ni we kuonyesha msimamo kwani utaisha na bimkubwa au huyo miss chagga we acha woga
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time
sijakaa nae tukaongea nae,ila anaweza akakubali kishingo upande halafu yakija yakatokea alioyasema we unahisi itakuaje mkuu?We unaonekana ushaamua kumfuata mama kwa jinsi tu unavojibu sasa follow ur heart! Mama angu pia hataki kusikia wachaga kabisa, awe mmachame, mmarangu hataki kabisa as long as ni mchaga, uwa anamwambia mdogo wangu wa kiume yani katika pitapita zako huko wachaga waangalie kwa mbali kabisa usije leta mchaga hapa haha...sasa hawa wazee cjui wana ishu gani na wachaga sababu with whatever reasons thy av watu hutofautiana kitabia ila pia wazee wanaona mbali na wamepitia mengi, binafsi nakuelewa, its really hard to go against ur parent na wanaosema anaeoa sio mama, it doesnt work like that, mana ata huyo binti hatafurahia ndoa kama mama mkwe hampendi na hawezi kumkwepa akishaolewa ni familia tayari so watakutana tu,ila kama mama anakupenda sana mwisho wa siku atakubali tu we endelea kumbembeleza.
sijakaa nae tukaongea nae,ila anaweza akakubali kishingo upande halafu yakija yakatokea alioyasema we unahisi itakuaje mkuu?
hallooo hiyo kesi nyingine maana binti mwenyewe ndo hivyo tena kafa kaoza kwangu hana hata chembe la dosari useme nimuache ndani ya uhusiano wetu uliyedumu yapata mwaka sasa hajawahi kunikosea na ananisikiliza sana,huruma inanijia tatizo hawa wadada hawaaminiki huwa vigeugeu anakua mpole ili upitishe ndoa baada ya hapo ndo majanga huanzagaEh ndg yangu basi achana na huyo dada....not evryrelationship z meant to be...others just happen tu, tafuta kabila ingine peleka kwa mama, simple, na mwambie huyo dada ukweli uone atasemaje am sure akiwa na busara awezi kukubali kuolewa atu akakutana na drama za ndoa huko.
Bongo Tv,ndoo,meza,viti na jokofu ni Mali pia
chagua moja kusuka au kunyoa!! au lah ukikua zaidi utaelewa kipi bora!!!mm ndo muoaji .na bimkubwa ndo kila kitu kwangu
sasa dada we si unajua kwenye maisha kuna kupanda na kushuka,unadhani nikishuka takimbilia wp??
sawa mkuuMbona simpo tu! Chunguza mambo yote ambayo mama anadoubt kutoka kwa huyo mdada na kabila lake ukihusisha ndugu zake,marafiki zake n.k.Tathmini kwa kina,je,ktk ukoo au familia yake kuna aliyeolewa then "akahamishia mali zote kwao?" Kama yupo/wapo,chunguza ukaribu wake/wao na mchumba wako,kama wameshibana kiasi cha kushirikishana mambo mbalimbali basi anachoguess mama kuna uwezekano mkubwa wa kutokea(ipo siku na yeye atahamishia mali kwao) na kama hakuna kabisa ndugu wa karibu aliyewahi "kuhamishia mali kwao" basi tumia kigezo hicho kumshawishi mama,bila shaka ataridhia tu!
sijakaa nae tukaongea nae,ila anaweza akakubali kishingo upande halafu yakija yakatokea alioyasema we unahisi itakuaje mkuu?
don't let your emotion control your point,think b4 hutle