Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wadau huko Arusha jina la Gloria linatamkwa Gilooo! tena kwa kuvuta. Mother anatamkwa Mazaaaa!
Wajuzi mtujuze kwanini?
Wajuzi mtujuze kwanini?
Naona unatufatilia Chaliii yangu...!!Wadau huko Arusha jina la Gloria linatamkwa Gilooo! tena kwa kuvuta. Mother anatamkwa Mazaaaa!
Wajuzi mtujuze kwanini?
Chalii una mapee- una mapepe kwelii.Wadau huko Arusha jina la Gloria linatamkwa Gilooo! tena kwa kuvuta. Mother anatamkwa Mazaaaa!
Wajuzi mtujuze kwanini?