fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,264
Anaupiga mwingi sana, kwakuwa hamna macho hamuoniNeno ‘mama’ lina maana kubwa maishani mwakila mmoja wetu. Ninapotamka ama kusikia neno mama mawazo yangu yanazama kwenye fikiria za matumaini, Faraja,huruma na upendo wa dhati usikuwa na kipimo kutoka kwa mama...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app


