Mama bado anaupiga mwingi?

Mama bado anaupiga mwingi?

Tatizo ya katiba hii inaruhusu magarasa kuingia ikulu ya JMTZ. Ndani ya miaka sita hili ni garasa la pili.

Unapomwita Rais Samia Suluhu Hassan garasa unamaanisha nini? Au alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza hamkujua maana yake?

Au Ulitaka itokee chadema halafu Salum Mwalimu ndio awe ikulu leo? Au wapinzani mlipokua mnachagua mgombea mwenza hamkuijua katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Kati ya vitu vinaifanya CCM iendelee kuwa bora ni upinzani kuendelea kuwa dhaifu, kulialia, kudeka na kudemka
 
Neno ‘mama’ lina maana kubwa maishani mwakila mmoja wetu. Ninapotamka ama kusikia neno mama mawazo yangu yanazama kwenye fikiria za matumaini, Faraja,huruma na upendo wa dhati usikuwa na kipimo kutoka kwa mama...
Nani kakuambia na Kukudanganya kuwa Matatizo yote ya Tanzania yetu hii yatapatikana kwa ujio tu wa Katiba mpya ambayo mnaiota Kutwa?

Kwahiyo na hata huu Uwezo wenu mdogo wa Kufikiri na Akili katika kuyaangalia mambo Kiupana wake nao Katiba mpya inahitajika ili Kunusuru na Kuwaokoeni?
 
Ndugu soma unielewe vizuri. Hapo sijazungumzia matatizo yote ya Tanzania. Nimeongea kuhusu utawala wa sheria na Rais na matarajio ambayo watu walikuwa nayo wakati anaingia madarakani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unapomwita Rais Samia Suluhu Hassan garasa unamaanisha nini? Au alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza hamkujua maana yake?

Au Ulitaka itokee chadema halafu Salum Mwalimu ndio awe ikulu leo? Au wapinzani mlipokua mnachagua mgombea mwenza hamkuijua katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Kati ya vitu vinaifanya CCM iendelee kuwa bora ni upinzani kuendelea kuwa dhaifu, kulialia, kudeka na kudemka
1628688930109.png

Karibu tena dada Mama D
 
Ndugu soma unielewe vizuri. Hapo sijazungumzia matatizo yote ya Tanzania. Nimeongea kuhusu utawala wa sheria na Rais na matarajio ambayo watu walikuwa nayo wakati anaingia madarakani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwacheni Rais ( Mama ) Samia afanye Kazi tafadhali na mkitaka Tanzania iongozwe na Vyama vyenu vilivyojaa Uhuni na Usanii anzeni Kubadilika kwa Kujitafakari Kwanza.
 
Sanaaa, anachukiwa na wachumia tumbo wa CDM baada ya kuwakatalia upuuzi wao wa kumlazimisha apindishe sheria ili Gaidi Mbowe aachiwe na DPP
 
Mwacheni Rais ( Mama ) Samia afanye Kazi tafadhali na mkitaka Tanzania iongozwe na Vyama vyenu vilivyojaa Uhuni na Usanii anzeni Kubadilika kwa Kujitafakari Kwanza.
Mijinga sana hii mijamaa, mayowe yote haya sababu Gaidi wao yupo sehemu salama
 
Back
Top Bottom