Watoto hawajui mambo ya hodi.....!Piga hodi mara 3.! Eboo.!
Duh mtoto alilaaniwa manake mtoto mwenye akili hatakiwi kuona hayo!Kama ilivyokuwa ada kwa Baba mmoja ambaye hupenda kujipumzisha pindi anapotoka katika shughuli zake za kila siku, basi siku mmoja akiwa amejipumzisha kitandani chumbani akiwa uchi wa mnyama. Basi kwa kuwa alikuwa amelala kifudifudi ilhali (whereas/wakati) kende/korodani zake zikawa zimejitokeza kwa nyuma, akaja mtoto na kuziona kwa kuwa ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mtoto yule kuona kitu kama kile kwa haraka haraka akafikiri baba yake amejisaidia, kama mnavyofahama sehemu ile kwa sisi waafrika huwa nyeusi, mtoto alitoka mbio hadi kwa mama yake na kumweleza Mama! Baba kanye, basi mama watoto alitoka mbio hadi chumbani na kushangaa hali aliyoikuta.
'Hii yote laana kutoka kwangu A.L.Mrema,na bado!',mwisho wa kunukuu.Tatzo la ku2mia chumba kim0ja na kids,askar ndio mna wakat mgumu kwenye mabanda yenu!
Kama ilivyokuwa ada kwa Baba mmoja ambaye hupenda kujipumzisha pindi anapotoka katika shughuli zake za kila siku, basi siku mmoja akiwa amejipumzisha kitandani chumbani akiwa uchi wa mnyama. Basi kwa kuwa alikuwa amelala kifudifudi ilhali (whereas/wakati) kende/korodani zake zikawa zimejitokeza kwa nyuma, akaja mtoto na kuziona kwa kuwa ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mtoto yule kuona kitu kama kile kwa haraka haraka akafikiri baba yake amejisaidia, kama mnavyofahama sehemu ile kwa sisi waafrika huwa nyeusi, mtoto alitoka mbio hadi kwa mama yake na kumweleza Mama! Baba kanye, basi mama watoto alitoka mbio hadi chumbani na kushangaa hali aliyoikuta.
Tatzo la ku2mia chumba kim0ja na kids,askar ndio mna wakat mgumu kwenye mabanda yenu!