Mama! Baba kanya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama! Baba kanya.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kibirizi, Jul 17, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama ilivyokuwa ada kwa Baba mmoja ambaye hupenda kujipumzisha pindi anapotoka katika shughuli zake za kila siku, basi siku mmoja akiwa amejipumzisha kitandani chumbani akiwa uchi wa mnyama. Basi kwa kuwa alikuwa amelala kifudifudi ilhali (whereas/wakati) kende/korodani zake zikawa zimejitokeza kwa nyuma, akaja mtoto na kuziona kwa kuwa ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mtoto yule kuona kitu kama kile kwa haraka haraka akafikiri baba yake amejisaidia, kama mnavyofahama sehemu ile kwa sisi waafrika huwa nyeusi, mtoto alitoka mbio hadi kwa mama yake na kumweleza Mama! Baba kanye, basi mama watoto alitoka mbio hadi chumbani na kushangaa hali aliyoikuta.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hahaahaaaaa, uuuwwwiiiiii,
  huyo mtoto hakupofuka kweli?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tatzo la ku2mia chumba kim0ja na kids,askar ndio mna wakat mgumu kwenye mabanda yenu!
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aatakuwa afande wa bongo huyo.
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Piga hodi mara 3.! Eboo.!
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mhhh!!! Hi kali.
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha haaaaaaa........!!!!!!
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Dah!! hiyo fedheha huyo mdingi cjui atakuwa na akili zilizo scratch kama CD feki za kibongo!!tehe tehe tehe!!!!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Watoto hawajui mambo ya hodi.....!
   
 10. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Duh mtoto alilaaniwa manake mtoto mwenye akili hatakiwi kuona hayo!
   
 11. NGWANAMWELUNGA

  NGWANAMWELUNGA Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! mbavu zangu!!
   
 12. BLISS

  BLISS Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nilikuwa sijacheka toka niamke, lol! hii kali nimecheka mpaka na mwenzangu wa tumboni karuka lol! hii kali...
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kudadaaadek!
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ha ha haaa...
   
 15. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  'Hii yote laana kutoka kwangu A.L.Mrema,na bado!',mwisho wa kunukuu.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Kama choo unapata cheusi basi una matatizo onana na daktari wako haraka.
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  There are currently 1users browsing this thread. (1members )


   
 18. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mtoto ni wa kike au?
  manake kama ni wa kike then ......................................!
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  sera mbovu za chama tawala juu ya makazi ya watu
   
Loading...