mama azaa mtoto anayefanana na mbuzi

mama azaa mtoto anayefanana na mbuzi

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
ITV Tanzania:
Katika hali isiyo ya kawaida mbuzi mmoja wa mkulima Bi Rehema Daniford wa kijiji cha Kinapanda wilayani Iramba mkoani Singida Amezaa mtoto wa mbuzi anaye fanana na binadamu sehemu za kichwa na jinsiya ya kiume na miguuyake ikiwa na kwato za mbuzi.
Source: ITV page facebook!
 
Sorrry: heading ni mbuzi azaa mtoto anayefanana na binadamu!
 
Wiki kadhaa zilizopita nimeshangaa kuona wameandika watu wamekamatwa na polisi baada ya ungo walilokuwa wanatumia kupaa kuanguka karibu na kituo hicho. Watu walivyo warahisi kudanganywa kweli wengine walikuwa wanaamini huo ushirikina. Hizi habari feki (naita feki sababu hawakuweza kudhibitisha chochote) ni hatari sana sababu kuna watu wengi wanaziamini nchini Tanzania. Mnakumbuka habari feki za Mike Tyson watu walivokuwa wakitokwa mapovu? Sasa hivi mbuzi kazaa mtu. Siku nyingine mtasikia sijui wakristo wamechoma msikiti, waislamu wamechoma kituo cha yatima n.k.

Tafadhali msifanye mzaha kusambaza habari feki sababu kuna wehu wengine wanaamini kila wakisikiacho ni FACT.
 
Back
Top Bottom