MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Bibi na babu walimkuta mjukuu wao yupo nje ya nyumba yao analia.
"Unalilia nini mume wangu?" aliuliza bibi kiutani kwa mjukuu wake.
"Mama amenipiga, ananionea bure", dogo alijibu huku kilio kinazidi.
"Kwani umefanya nini tena?
"Eti kwa sababu nimekojoa kitandani wakati kila siku usiku ninawasikia wao wakisema "Ninakojoa mkewngu", au "ninakojoa mumewangu". Mbona nyinyi hamuwapigi wao?
Bibi na babu walishindwa kupata suluhisho, wewe je?