Mama Ananilea Nkya ni Mkakamavu!

Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,517
4,987
Kwa ambao wamekuwa wakifuatilia harakati za huyu mama watakubaliana nami kuwa haogopi kulisema linalokuwa moyoni mwake. Nimemikia alivyorekodiwa na EA radio akikemea tamko la wajeshi na kuwaponda waandishi wa habari makanjanja. Haki nimemkubali!
 
Mimi nadhani huyu mama sio mkakamavu bali ni shujaa na mzalendo kiingetreza COURAGEOUS AND A PATRIOT!!
 
Ukakamavu si hoja, je anayosema yanatelekelezwa? Hilo ndiyo tatizo kubwa sana kwa tanzania hii.
Ukiweza kusema ukasika na mabadiliko yakatokea hapo ndiyo utaitwa shupavu. Anyway at her level is shupavu.
 
ndio nani huyu?
AmbLenhardtnNkya_500x467.jpg

U.S Ambassador Alfonso E.Lenhardt,presents the 2010 Tanzania Woman of Courage award to Ananilea Nkya for her efforts to preomote equality,opportunity,and justice for Tanzanian Women and girls.

1.jpg

Ananilea Nkya is a journalist and the Executive Director of Tanzania Media Women Organization (TAMWA).
 
asante sana
 
Huyo mama kuna wanaume ukitaja jina lake mbele yao wanagonga talaka. Ana uthubutu wa ajabu, huwa hatafuni maneno akiongea
 
Ukweli ni ukweli siku zote na wala hauwezi kugeuka kuwa uongo. CCM ndo waliozoea uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo Hongera mama Nkya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom