Chawa ni nani?
Hilo ni jina la Kiswahili, kiingereza ni lice na kwa jina la kitaalam ni Phthiraptera
Kiasili chawa ni aina ya wadudu wadogo tambazi wanaopenda kuishi kwenye miili ya binadamu wachafu na baadhi ya wabyama wafugwao wasiotunzwa kwenye mazingira safi
Chakula chake rasmi ni damu anayonyonya toka kwenye mwili wa binadamu au mnyama (hawa wa kufugwa) na akifanikiwa kupenya kwenye vidole vya miguu michafu hujichimbia kwenye ile ngozi laini na kugeuka funza na kutaga mayai humo
Funza ana mzio na watu wasafi! Kamwe hawezi kuweka makazi yake kwa watu safi wanaoishi kwenye mazingira safi.. Pepo yake ni kwenye mwili, mchafu wenye nywele chafu, kucha chafu,nguo chafu, humo hufanya makazi yake na kutaga mayai yake! Hufyonza damu kwa ajili ya chakula, na huwasha ngozi.. Ule muwasho wake ukijikuna upele hufuata.. Huleta na magonjwa mengine pia!
Kwa kifupi chawa si mdudu mwema maana ana hasara nyingi kuliko faida na mtu kufananishwa ama kuitwa chawa kama sio sifa mbaya basi ni dhihaka kubwa ama ni tusi au ni kejeli
Wahenga wana usemi wao kwa kutumia lahaja wanapotaka kumuelezea mtu mbaya.. Usemi huu asili yake ni chawa mwilini... Unasema hivi! Kikulacho ki nguoni mwako!
Nilipomsikia bi mkubwa akisema ana chawa wake niligutuka kwa mshtuko na fadhaa kubwa, maana kila kinachoonekana kwa macho ya nyama kina replica ya kiroho!
Happy new year BELOVED TANGANYIKA[emoji173]

Ila pia chawa ni kimelea kinacholeta magonjwa ya aibu[emoji848][emoji2827]Hata Mimi jana nilivyosikia neno chawa kutoka kwake nilishangaa sana, UCHAWA naona umehalalishwa kutoka kwa Rais na chawa huwa hawakosoi wao ni kutetea tu.
Hapo IQ umeipimaje?Kaka una IQ kubwa sana ambayo inafanya u think beyond the line
boot-licer nadhani hiyo ndo chawa wanaomanishwa hapa[emoji817]chawa ukiachana na huyo archanida ana general term anaitwa sycophant, toady,au boot-licer nadhani hiyo ndo chawa wanaomanishwa hapa
sycophant,
Is a person who praises powerful people in order to get their approval
A servile self-seeking flatterer
Nadhani maza alimanisha huyu chawa
Walau ungetafuta hotuba yake kwa maandishi uelewe aliongea nini!!!..unakurupuka tu Kama uharo!!Chawa alitaka kumaanisha ana mbwa wake ambao watang'ata wanaobeza ama kutukana, kwa hio sio mstahimilivu kisiasa, anapenda kusifiwa sana. Angepaswa aseme mimi ntaziba masikio mkiongea yenu mimi napiga kazi, kuogofya ni udhaifu mkubwa sana
Mitandaoni ndiko anapata ukweli wa nini kinaendelea.Huyu mama anaonesha ni wa huku mitandaoni sana, na kwa vile huu msamiati wa neno "chawa" unatrend sana huku amejikuta analitumi kama vile yuko huku.
Sio zaidi ya hapo.
Umemsahau Jiwe hapoSishangai wengine kudai TZ inaongoza kuwa na viongozi VILAZA!
Kuanzia Bashite Kigwa Mwigu na Bi Mwamvua!
Mkuu hyo ni personification sikutegemea great thinker kama wewe kuleta huu utopolo ni kama Magufuli alivyokua anaitwa Jiwe.Je binadamu anaweza kuwa chawa? Mdudu Chawa yuko kwenye kundi la vimelea (parasites) wakiishi kwa kutegemea damu toka kwa viumbe hai kama binadamu na wanyama! Sifa pekee inayomtofautisha chawa na vimelea wengine ni kwamba yeye ni lazima makazi yake yawe mwilini na huo mwili lazima uwe mchafu![emoji23]
Binadamu kuitwa chawa lazima awe na tabia zote za chawa! Chakuumiza ama cha kufurahisha ni kwamba chawa huwa hana mwisho mwema!View attachment 2468567
Tunakoelekea hakujulikani!.... [emoji24][emoji24] Inasikitisha Sana.... Chawa?Kumbe wapo official[emoji848]View attachment 2468559