Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Eti Mungu ibariki Tanzania ipi unayowatetea mafisadi na kuwapinga waliojitolea kupinga ufisadi ambao wewe unawaita mbwa koko shame on youNini tunakijadili hapa???????
Waliojitambulisha kama wapiganaji wako wapi, wamekufa vitani? au wamezidiwa nguvu na kukimbia kuokoa uhai wao (posho mbilimbili) wakati wafuasi wao wanauwawa.
NAWASHANGA WANA JF KULUMBANA KWA SABABU YA SITTA, i dont see the reason, Sita alituaminisha Watanzania wote kuwa wapiganaji watapigana mpaka mwisho na mungu atawasaidia wapiganaji watashinda, Je ushindi ndio huu?
SITTA KUWAAMBIA WATANZANIA KUWA ALIPONEA CHUPU CHUPU KUFUKUZWA CCM HAIMFANYI KUWA SHUJAA sana sana inathibitisha kuwa yeye ni mbwa koko (corward). Wangapi wamefia maslahi ya taifa? wangapi wanataabika kwa sababu walisimama imara kutetea maslahi ya taifa. ambalo Sitta leo ajipitishia posho kbao?
Tukiwa na viongozi waoga kama Sitta, Wanaoogopa kufukuzwa kwenye chama nchi itaenda wapi.
Mh Zitto alipofukuzwa bungeni kwa sababu ya Buzwagi na baadae ikathibitika kuwa alichokuwa anasema ni kweli ndiyo siku alipotuonyesha UZALENDO WA KWELI NA NDIYO HESHIMA ALIYONAYO MPAKA LEO KENYE JAMII YETU.
Kama Sitta ameogopa kufukuzwa basi na sisi tunaogopa kumpa heshima kama shujaa wetu.
Ama tuache kujadili au tukubali ukweli kuwa hatujui walipo wapambanaji wa ufisadi. Na Sitta si shujaa kwa sababu hakuna ushindi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.