Malumbano ya hoja ITV

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Mada ya leo ni tamko la Rais Magufuli kuhusu vijana kuzurura Tanzania.

Wanaojadili wengi wamejitahidi sana lakini nadhani kama anafatilia atakuwa ameona watendaji walioachwa na Rais mstaafu kwa Waziri mkuu, jamaa katema boko mpaka naona aibu kulitaja hapa.

Rais Magufuli tumbua jipu huyu nadhani atakuwa ni usalama tu. Vijana wa CCM wamejitahidi sana kuchangia ila John Assenga hakuwai kuongea point, ndio maana hata ubunge kanyimwa.Leo kaendeleea kutema maboko.

Nampa hongera kijana mmoja wa CCM alyekaa mbele.
 
Back
Top Bottom