MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 761
Ha ndio kina nani mbona hawafahamiki ktk siasa za ccm hapa tz
H ufai kua mwana ccm kama humfahamu mwakyembe sitta hata bosi anayekulipa buku7 Nape.
Ha ndio kina nani mbona hawafahamiki ktk siasa za ccm hapa tz
gazeti la tanzania daima = sauti ya chadema
Mzee Philipu Mangula uko wapi mbona kimya? Hebu wakemee hawa wanaojifanya miamba ya kupasho wanakuharibia sifa ya chama chako. Maana katika viongozi wewe ndiye mkongwe.
Haki ya nani Lowasa kawabana vibaya CCM, huyo mnae huyo mpaka awatoe ngama.
Ccm watu wazima na wakongwe hili linamalizwa mapema... Ila kijana Makonda usituchafulie hali ya hewa. Shame on you.... Mhamasishaji wa nn wewe? Peleka upuuzi wako huko
Makonda (kundi la akina Sitta na Nape wao) vs Kiabo (aliyachwa katika mataa na akina sita katika CCJ) +Guninita + Mwenyekiti uvccm + Wenyeviti wa CCM sasilimia 95 + Wakuu wa wilaya asilimia 80 + wakuu wa mikoa asilimia 70 + wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM asilimia 80 + viongozi wakuu wa jumuia 3 za CCM (Kundi la Lowasa), Mechi hii inaonekana kuwa itakuwa ya upande mmoja Nape na Makonda na wenzenu kwa nini msiweke mpira kwapani?
Ha ndio kina nani mbona hawafahamiki ktk siasa za ccm hapa tz