KIGILAGILA
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 164
- 38
aaaaahaaaa jamani hii ndio jf.
Wacha Chadema waheme kidogo
Team zima yao hawatii mguu huku!
Hakika wako likizo mkuu Crashwise. Si unajua tena tpmazembe ameshatupa hali halisi ya ukwasi kwa sisiemu?? Akaunti zao kau kau kabisa kwa hiyo buku 7 ya Lumumba naona hawajalipa muda kwa hiyo wafuasi wao wamegoma kwa muda eti wanasubiri walipwe kwanza madeni ya buku 7!!! Te he te he!!! Sijui CDM watatoa lini namba ya simu turushe michango yetu kule!!!! Mbona napataga bia kidogo si bora nifunge bia kwa wiki moja kwa ajili ya CDM??? Ukombozi wa nchii hii.leo magamba hawakanyagi humu..
waheme! ulitaka kusema wapumue. unafikiri ccm wenyewe wanavyowahemesha cdm na wao je? una habari ukitaka kudeal na mtu lazima na wewe uumie? chukulia tu unavyomchapa mwanao mdogo anavyozunguka na kujipinda, ukimaliza kumchapa unahema kweli na pia kuna uwezekano baadhi ya fimbo umejipiga mwenyewe kadri dogo alivyokuwa akijipinda kukwepa.
ndio ccm sasa, hawalali usiku kucha wakiwaza mbinu za kuwasulubu cdm, hawana peace of mind kila wakati wakiwaza leo cdm wamefanya hiki kitawatoa kwao wao ni tabu. kumtesa mwenzio usinishawishi kuwa kuna raha, unateseka as well, tena unaweza kuzidi, maana wakati mwingine kuna gharama unazoziincur believe me, sema tu kama wewe ni zuzu huwezi zifikiria.
furaha kwa mainziii!!Vita ya mizigo.
Kiyabo ni njaa tu inamsumbua. Wala hana jipya la kuwaeleza watz
Ha ha ha ha nimecheka sana!!! Halafu msalani aki quote post ya mfuasi au mshabiki wa kule kwa makamanda basi huwa ni lazima aporomeshe matamshi yenye harufu ya msalani.
Ha ndio kina nani mbona hawafahamiki ktk siasa za ccm hapa tz