data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,884
Ukisha vuta bangi zako we qmar unskuwa msengrr..Ya leo hii lkn zamani haikuwa hivyo, zamani Mbezi beach ilikuwa ni high income tu!
Ukisha vuta bangi zako we qmar unskuwa msengrr..Ya leo hii lkn zamani haikuwa hivyo, zamani Mbezi beach ilikuwa ni high income tu!
UVCCM dhambi ya ubaguzi inawaandama.Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani Mwarabu sasa sisi Waafrika weusi hatukuwa na eneo letu zuri na ndo maana Nyerere akatumegea Mbezi Beach!
Kwamba ilikuwa ili uishi Mbezi Beach ulihitaji kuwa mweusi kama mimi na pia high income na middle na manlow income mlitengewa Mwenge, Sinza , Tabata, Migomigo &Co.
Na tulianza vizuri ila sasa hivi malow income wa Tabata, Sinza wote wamehamia Mbezi Beach matokeo yake uchafu, wizi, majumba ya Ibada yasiyo na mpangilio, wachoma mahindi barabarani, n.k.
Nyerere angekuwepo angeilinda Mbezi Beach yetu, mbona malow income hamuhamii Obey au Upanga na kujenga majumba yenu ya ibada hovyo hovyo na kuuza mahindi choma kila mahali?
Nashauri sumatra waondoe dala dala Mbezi hizi ndo zinazotujazia watu Mbezi Beach!
Bring back our Mbezi Beach, malow income out!
We jinaia gani mkuuKwani kuna tatizo gani kuwa choka mbaya? Nimesema tu ukiwa choka mbaya usitake kulazimisha kuhamia Mbezi Beach, yapo maeneo ya malow income kama Migomigo, Tabata relini & Co.

Acha uduwanzi wewe, kwanza hakuna Mbezi Beach, eneo lote along the Beach ambalo mngeweza kuliita Mbezi Beach lipo kawe lile eneo la kule chini along barabara ya Mwai Kibaki, huku juu along Bagamoyo Road maeneo yote ya Tank Bovu etc ambayo actually ndio Mbezi hakupaswi kuitwa Mbezi Beach, kwa kifupi Mbezi ni Mbezi tu, iwe Kimara au Tank Bovu!! Beach ipo KAWE!
Etieeèèhmi sioni tofauti kati ya Tandika na Mbezi Beach
Kwan bila low income ungejulikanaje we we jua kua bila uwepo Wa masikini asinge julikana tajiri pia umasikini sio kilema tena kumbuka watanzania hatujafikia huko kubaguana na ingelikua hivo basi mgelikua na tz yenu matajiri tu pia usingeli changanyikana ktk zoezi lolote lile la kukutanishwa na masikin kwenye hiyo mitaa yako unayo jigamba nayo ila usisahau hakuna utofauti Wa kifo kwa masikin na tajiri fungal mdomo wako acha kashfa Mungu sio mwanadam unaweza pata balaa ambalo utajiri wako au wenu hauwezi kuwa msaada ila msaada ukaupata Wa low income yangu hayo tu Mkuu
Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani Mwarabu sasa sisi Waafrika weusi hatukuwa na eneo letu zuri na ndo maana Nyerere akatumegea Mbezi Beach!