Malove davi jf

Mishahara imeshanuswa....na shule zimeanza kufunguliwa,masingle Maza ndiyo yanaanzaga kujitongolesha kama hivi.....kuweni makini hao mnaoitwa ma-gentlemen..Kuna kitu kinatafutwa hapo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa naona kuna targeted member mleta bado anavutiwa nae, sasa anataka kupima upepo na competition

Kwa kifupu huo mtego hatuingii, tafutaneni inbox
 
Kuitwa gentleman. Hii ni red flag ... inabidi uwe smart sana kuitambua hii mitego
 
Haya mambo yanapatikana mtu akishashiba 😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…