SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,987
- Thread starter
- #21
AkuuubNjoo mkuu tufurahi tukiwa wote.
AkuuubNjoo mkuu tufurahi tukiwa wote.
SImseme mtakufq nq moyo ukikuwa unaumaHalafu anasema yupo single kweli au anatupanga
Itakua anae mtu ila ana pesa chache , sasa baada ya umaarufu anawinda mapedesheeHalafu anasema yupo single kweli au anatupanga
Sijakuelewa mkuu.Akuuub
Bora tukae kimya sio kila swala ni ya kuwindaSImseme mtakufq nq moyo ukikuwa unauma
MNamzungumzia nani namimi nijueItakua anae mtu ila ana pesa chache , sasa baada ya umaarufu anawinda mapedeshee
Wengine makengeeBora tukae kimya sio kila swala ni ya kuwinda
Kwasababu alinifata Pm anataka nimuoe nikakataaYUle kaka why amekuita shoga
Twendee tukamwashie moto asituzoee watu wa chugaaKwasababu alinifata Pm anataka nimuoe nikakataa
Acha tu🤣🤣 ya nini kujipq stressWengine makengee
dah! Kwa kweli nishakoma huyu tate mkuu sio mtu kabisa kwa uchawi.Wewe muache. Namvutia tu kasi. Na kama haelewi somo, basi amtafute holoholo atamwambia alivyo ponea chupu chupu kuchukuliwa msukule.