Malkia wa nyuki...

Jana mama huyu aliwapakia viongozi wa simba wakiongozwa na Rage kwa kutaka sifa kuleta makocha wa nje badala ya kuwatumia wazalendo . Inapotokea wamekatisha mkataba i uwezo wa kuwalipa hawana
 
hivi MADENI ya MAHARAGE ndio MFALME WA NYUKI???
 
mwenye namba yake ani PM, Maana muda mrefu sana namtafuta huyu!

huyo shemeji yenu kupitia kwa kaka yangu, hivo mwacheni

Tayari mmeshaanza mkiona vinaelea vimeundwa

Kwaiyo unataka namba yake?

duuu mpaka wewe unayo basi sihitaji tena baki nayo tu!

Heeeh....! Nyie vijana, hamuogopi kunyofoka viungo na kufa!!
Should a drone succeed in mating he soon dies because the penis and associated abdominal tissues are ripped from the drone's body after sexual intercourse.[2]
Reference: Drone (bee) - Wikipedia, the free encyclopedia
 
ametulia sana .........jicho jicho................
 
Tumetulia tuliii hapa, nimefurahi sana kumbe mamaa analipa wengi udendaa umewatokaaaa.... MTAKUFA NYIEEEE
 
Dah! Nkipata sampuli hii.. Lazima mtu mzima nijiangushe ndani ya 18.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haya vijana msio na ajira jitokezeni mkafanye kazi, akikolea na shughuli yako huyo anaweza kuondoka nawewe ukawe msimamizi wa moja ya makampuni yake ughaibuni.
 
Haya vijana msio na ajira jitokezeni mkafanye kazi, akikolea na shughuli yako huyo anaweza kuondoka nawewe ukawe msimamizi wa moja ya makampuni yake ughaibuni.
au akakufanye sex machines pia...usikimbilie kusimamia makampuni tu! kama amekupenda wa kungonoka basi tegemea kuwa hata akikupeleka huko kwake n kwenda kungonoka tu...chezea kusimamia kampuni wewe? wengine hata kusimamia banda la nyanya chungu hamuwezi halafu mnataka mkasimamie kampuni?!!! lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…