Malizia sentensi hii uonavyo.....

watanzania wanakuwa pesimistic kwa kila kitu..
 
Mwanamke mwenye mabwana kila mtaaa
 
....nchi ikitawaliwa na Chama ambacho watawala wake hawajui kwanini watanzania ni masikini!
 
cpendi kuona...Simba wakif****wa na kuto***wa na TP Mazembe....


Yaani wakifungwa na kutolewa.

Lakini nimeona.
 
Waislam wakiungana na kuivunja bakwata na kuwa na chombo kimoja ili wawe na umoja wa mipango endelevu ktk elimu afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…