Na wbunge wanaenda kujiongezea malipo mengineKwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Tonge La Mwisho Ndiyo Lakukombea Mboga!!Wabunge wa wanyonge!
Ah we jamaa nae,Malipo hayana uhusiano wowote na mikopo. Mikopo ni kitu binafsi na ni mkataba binafsi.
Yaani hukuweka mchanganuo wa mambo kadhaa:-Hebu nenda straight kwenye maana yako. Ukimaanisha kuwa???
Mkuu hayo malipo ni kodi zetu kwaiyo useseme hulipwa sema tunawalipa
Safi sana lipeni kodi ili Wabunge wasikose Mishahara minonoKwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
bado kuna hela ya suti 9,000,000/ ambayo safari imeleta utataKuna hela ya maendeleo ya Jimbo, inayopatikana katika mfuko wa jimbo, pale ndio hutoa pesa za kufanya hayo...ilimradi tu madiwani wameshirikishwa wakatia saini.
kwanuni wasilogane kwa pesa hiyoKwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.