4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,521
- 13,381
Na hawezi kutoa lakiKila msiba wa jimboni kwako lazima utoe ela
Kupiga Meza makofi, kuzungusha makalio na kusema ndiyooo kila kitu hata mimi ningeweza kama Kibajaji ameweza.mimi naona wanastahili,kazi ya ubunge ni ngumu sana 🤣
Kupiga Meza makofi, kuzungusha makalio na kusema ndiyooo kila kitu hata mimi ningeweza kama Kibajaji ameweza.
Itapendeza wakilipwa kila mwezi 200hata 100 mln kabisa
Rekebisha ndugu Desert Lion ,sio wasomi, bali ni walioenda shule.Ndo mana wasomi wanakimbilia huko
Kuna hela ya maendeleo ya Jimbo, inayopatikana katika mfuko wa jimbo, pale ndio hutoa pesa za kufanya hayo...ilimradi tu madiwani wameshirikishwa wakatia saini.
Haahaa posho ya spika kuendesha kikao kwa siku ni 500,000/= mshahara wa mtu huo kwa mwezi.Hii nchi bado haijapata rais wa kuweka haki katika taifa.dhuluma tupu...Alaf kuna watu wanalipwa 460000 mwalimu wa degree take home ..af upo porini huko ngw'ang'alanga ..ma-mae Bora urudi town kuchoma mahindi
Kila msiba wa jimboni kwako lazima utoe ela
Hii nchi bado haijapata rais wa kuweka haki katika taifa.dhuluma tupu...
Siyo kweli, wote tunaishi majimboni na misiba inatokea, hayo ya mbunge kutoa hela kila msiba umetunga.Kila msiba wa jimboni kwako lazima utoe ela
Mwongo huyo.Usipotoa utashitakiwa?
Hao waache hata wafe hasa walimu yaani ni mazumbukuku kupitiliza wanaimba nyimbo za "kusifu na kuabudu"kwa watawala,natamani ikibidi wapunguziwe mshahara.Huku mwalimu, askari etc wakitaabika.
Kati ya malipo ya hovyo kufanywa kwa wabunge ni hiyo sitting allowance. Kazi mojawapo ya ubunge ni kuhudhuria vikao vya bunge na kuchangia mada kwenye vikao hivyo, sasa iwapo kukamilisha kazi yake analipwa ziada ni upuuzi sana; ni sawa na kumlipa mwalimu teaching allowance kila anapoingia darasani kufundisha, au kumlipa dereva driving allowance kila anaponedesha gari, malipo hayo yakiwa nje ya mshahara wake..Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao(sitting allowance) Tsh 220,000/=na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.