Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,968
- 6,137
itakusaidia niniHaya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.
Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa mechi moja tu.
Kule ligi kuu ya Ureno, mwamuzi analamba Euro 1500 kwa mechi moja ambayo ni sawa na Tshs. Milioni 3,811,197.
Kwa upande wa Ligue 1 ambayo ni ligi kuu ya Ufaransa, mwamuzi huwa anakunja Euro 2900 kwa mechi moja tu ambayo ukiileta kwa pesa zetu ni sawa na Milioni 7,368,178.
Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A nayo hawapo nyuma, refarii hulipwa Euro 3400 ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 8,637,996 kwa mechi moja tu.
Kule Bundesliga, kwa mechi moja tu, mwamuzi huchukua Euro 3600 ambazo ni sawa na Tshs. milioni 9,145,439.
Tukimalizia na Laliga, mwamuzi huwa analamba Euro 4200 kwa mchezo mmoja tu ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 10, 669,777.
Kwa kuhitimisha, EPL ligi pendwa waamuzi wake wanalipwa kiduchu kulinganisha na ligi za nchi nyingine, lakini pia waamuzi wa ligi za wenzetu wana kazi za ziada.
Natamani nifahamu waamuzi wetu akina Kayoko wao wanakunja shilingi ngapi kwa mechi moja.
Watu kama nyie huwa mna ugonjwa wa akili,itakusaidia nini
Yap tupate ya UEFA na FIFAVipi mashindano ya uefa na ya fifa?
fanya kazi...acha kfuatilia mishahara ya watuWatu kama nyie huwa mna ugonjwa wa akili,
Magonjwa Mtambuka mkuuWatu kama nyie huwa mna ugonjwa wa akili,
Aliyekwambia hana kazi ni nani, anyway hizi ndiyo stori watu tunaburudika nazo, usipende kuwa serious sana kwenye haya maishafanya kazi...acha kfuatilia mishahara ya watu
La Liga wametisha sanaHaya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.
Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa mechi moja tu.
Kule ligi kuu ya Ureno, mwamuzi analamba Euro 1500 kwa mechi moja ambayo ni sawa na Tshs. Milioni 3,811,197.
Kwa upande wa Ligue 1 ambayo ni ligi kuu ya Ufaransa, mwamuzi huwa anakunja Euro 2900 kwa mechi moja tu ambayo ukiileta kwa pesa zetu ni sawa na Milioni 7,368,178.
Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A nayo hawapo nyuma, refarii hulipwa Euro 3400 ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 8,637,996 kwa mechi moja tu.
Kule Bundesliga, kwa mechi moja tu, mwamuzi huchukua Euro 3600 ambazo ni sawa na Tshs. milioni 9,145,439.
Tukimalizia na Laliga, mwamuzi huwa analamba Euro 4200 kwa mchezo mmoja tu ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 10, 669,777.
Kwa kuhitimisha, EPL ligi pendwa waamuzi wake wanalipwa kiduchu kulinganisha na ligi za nchi nyingine, lakini pia waamuzi wa ligi za wenzetu wana kazi za ziada.
Natamani nifahamu waamuzi wetu akina Kayoko wao wanakunja shilingi ngapi kwa mechi moja.
Katika ligi zote ulizotaja waamuzi wa EPL ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo tu. Hawana kazi nyingineHaya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.
Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa mechi moja tu.
Kule ligi kuu ya Ureno, mwamuzi analamba Euro 1500 kwa mechi moja ambayo ni sawa na Tshs. Milioni 3,811,197.
Kwa upande wa Ligue 1 ambayo ni ligi kuu ya Ufaransa, mwamuzi huwa anakunja Euro 2900 kwa mechi moja tu ambayo ukiileta kwa pesa zetu ni sawa na Milioni 7,368,178.
Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A nayo hawapo nyuma, refarii hulipwa Euro 3400 ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 8,637,996 kwa mechi moja tu.
Kule Bundesliga, kwa mechi moja tu, mwamuzi huchukua Euro 3600 ambazo ni sawa na Tshs. milioni 9,145,439.
Tukimalizia na Laliga, mwamuzi huwa analamba Euro 4200 kwa mchezo mmoja tu ambazo ni sawa na Tshs. Milioni 10, 669,777.
Kwa kuhitimisha, EPL ligi pendwa waamuzi wake wanalipwa kiduchu kulinganisha na ligi za nchi nyingine, lakini pia waamuzi wa ligi za wenzetu wana kazi za ziada.
Natamani nifahamu waamuzi wetu akina Kayoko wao wanakunja shilingi ngapi kwa mechi moja.
Unajua jukwaa gani hili mkuu au ndo kutaka kujifanya unajua kuliko wengne wote tuna hili jukwaa la michezo inahusisha waamuzi piafanya kazi...acha kfuatilia mishahara ya watu
Baby yake na alikibakuli