HOJA Malipo ya 'Special lumpsum' ya NSSF si ya haki

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    nssf
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
nasikia mtaani wanasema et kama mtu alisoma degree ni ngumu kupata yote ataanza na 33.3% kwa miezi 6.
mimi nilienda kufungua madai nikaambiwa nisubiri siku 90 alafu ndiyo niende kufungua madai, je nikienda fungua madai nitapewa pesa yangu yote au itakuwa ndiyo hiyo 33.3% na mimi nana uhitaji niipate pesa yote
background yangu nina bachelor, nnaomba maombi yenu wadau.
 
Mimi nina degree nimeweka fingerprint jana,nachukua pesa yangu yote 23m pale kibaha.
 
Hongereni, Sisi tulioacha kazi fedha zetu kuja kuzipata ni ndoto.
Pole mkuu.
Kama uliacha kazi mwenyewe huwezi kupata hilo fao.
Kama unaweza, pambana utafutw kazi yoyote ile hata kama mshahara utakua mdogo sana, cha muhimu tu wawe wanachangia NSSF. Halafu baada ya muda kidogo mfano miezi 6, unapiga tukio labda huendi kazini siku tano mfululizo, ili tu wakufukuze kazi wenyewe. Wakikufukuza tu, hiyo barua yao sasa ndo itakufanya upate mafao yako.
Mr.Junior
 
Pole mkuu.
Kama uliacha kazi mwenyewe huwezi kupata hilo fao.
Kama unaweza, pambana utafutw kazi yoyote ile hata kama mshahara utakua mdogo sana, cha muhimu tu wawe wanachangia NSSF. Halafu baada ya muda kidogo mfano miezi 6, unapiga tukio labda huendi kazini siku tani mfululizo, ili tu wakufukuze kazi wenyewe. Wakikufukuza tu, hiyo barua yao sasa ndo itakufanya upate mafao yako.
Mr.Junior
na ukipata kazi serikalini inabidi tusubiri hadi miaka 55-60.
 
Pole mkuu.
Kama uliacha kazi mwenyewe huwezi kupata hilo fao.
Kama unaweza, pambana utafutw kazi yoyote ile hata kama mshahara utakua mdogo sana, cha muhimu tu wawe wanachangia NSSF. Halafu baada ya muda kidogo mfano miezi 6, unapiga tukio labda huendi kazini siku tani mfululizo, ili tu wakufukuze kazi wenyewe. Wakikufukuza tu, hiyo barua yao sasa ndo itakufanya upate mafao yako.
Mr.Junior
Anaweza kuchangia yeye ninafsi miezi kadhaa halafu anaziomba wanampa
 
Back
Top Bottom