Malipo ya makarani wa sensa yapo hivi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya makarani wa sensa yapo hivi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by prakatatumba, Aug 17, 2012.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkataba kwa makaran wa sensa walioingia na NBS ulikuwa ukiwataka kupewa posho ya 380, 000/= lakini kwa Temeke, mbagala charambe, Tandika ila wametoa 140,000/= badala ya 380,000/= kwa dodoso refu na dodoso fupi wametoa 70, 000/= badala ya 245000. Je kwenye kata yako wewe karan wa dodoso refu na wewe karan wa dodoso fupi umepewa sh. Ngap?
  Kwa hali h ya hela kutolewa kwa magumash ufanis wa kaz h itakuaje kama makaran wameanza kwa kukopwa?au makaran wavumililie maana uzalendo mbele.
   
 2. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,351
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  wewe ni mhusika ama unailzia kwa niaba ya wengine? na waliopewa wamezipokea bila kuhojiaama?mkataba mlipewa au aumesikia tu kwamba upo? mbaya zaidi ukute ulipata ukarani kwa kuhonga unaweza ukajuta kuzaliwa, au makaran wavumililie maana uzalendo mbele.waanze wao si makarani
   
 3. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona madaktari na waalimu wanavumilia? Na wao wavumilie tu, ukarani wa sensa ni WITO! Napita tu jamani msinitie ngeu!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Halafu kuna watu walihonga ili wapate hizo nafasi,kazi ipo
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hizo ni fact za ukwel nimeona mkataba na kuonana na makarani, mkataba walishapewa
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Watu wanawito lakini serikal haina wito
   
 7. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna waliohonga?
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Utakuwa unaishi Tanzania ya Mbinguni
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  dodoso refu ni nini?
  Dodoso fupi ni nini?
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  sasa tena ilitakiwa msipewe hata mia moja hapo kazi ya wito unaingia mkataba kabla ya kujua kiasi cha pesa huo ni wito
   
 11. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa si walikubali kufanya kazi wafanye hii ndo serikali ya ccm.
   
 12. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Makaran wa sensa wamegawanyika kuna wadodoso refu na fupi. Madodoso ni maswal ambayo makaran watakuwa wakiuuliza kwa wanakaya au familia siku ya sensa. Madodoso marefu yanamaswal 62 na madodoso mafupi yanamaswal 37.
   
 13. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wengne wamegoma na wengne wamechukua
   
 14. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haha, uzalendo au ?
   
 15. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waliogoma naona walipata kwa halali ila waliopata kwa magumashi kama kutoa rushwa ndo waliochukua.
   
 16. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Hizo pesa ni kwa siku au kwa kazi yote??
   
 17. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwa kipindi cha seminar n 35000 kwa siku mara 10 kwa Dodoso refu na kwa siku saba dodoso fupi
   
 18. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Buguruni makaran wa sensa wamegoma
   
 19. D

  Determine JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hiki kitu sisi jf hatuwezi kujali,sensa yenyewe ni ya dhaifu kwa watu dhaifu
   
 20. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hivi dodoso ndo kitu gani hiki?
   
Loading...