Malipo ya dhambi ya kura ya wazi ni hapahapa

Kanyala

Member
Aug 11, 2012
41
17
Mvutano wa jinsi ya kupiga kura, na mawazo mazuri ya kutaka kura ziwe za siri ili kutunza mahusiano na baada ya hapo, tumeona kura ya wazi inavyoanza kuleta madhara mwanasheria wa Zanzibar out, je angelipiga kura ya siri yangetokea hayo jamani? ikumbukwe japo kulikuwa na hiari ya kupiga kura ya siri au ya wazi lakini inaonekana ni shindikizo kwa wajumbe wa ccm wote kupiga kura ya wazi. na ndo maana mwanasheria mkuu ilimlazimu kupiga kura ya wazi japo kwa tofauti na matarajio ya kidumu chama. Democrasia i wapi wapendwa?
 
Hakuna chama kisicho na demokrasia kama ccm kamwe. Kwao demokrasia ni sawa na sumu kwao.
 
Cheyo alitoa tahadhari juu ya upigaji wa kura ya wazi, ajabu yeye akawa kinara wa kusema ndiyooooooo tena wazi.
 
Back
Top Bottom