Malipo TRA

malipo ya serikali yakoje wadau?
serikalini mishahara ni midogo sana wote tunaishi kwa deal za kifisadi tuu siku akitokea rais makini na takukuru yenye meno magereza yote yatajaa watumishi wa serikali nasheria ya kifungo itbidi iondolewe na badala yake adhabu ya kifo iwekwe kama walivyofanya wachina hakuna sababu ya kuingia gharama kuwalisha na kuwatibu wala rushwa magerezani.
 
TRA hakuna fairness coz wata wanunua ajira hadi tsh. 4 million kwa post za kawaida kama account assistant.wanavunga ku outsource kwenye learning institutions lkn mwisho wanachakachua kila kitu
 
Wajanja wakishapata xprience wanapakimbia,pale uzushi na uchakachuaji mwingi,mfano post ya Research Officer wanaajiri kila siku mtu zinakimbia kila siku!
 
TRA Hakuna Allowances zozote zaidi ya mishahara tena haikidhi sikuizi inatofauti kidogo sana na ya watumishi wa kawaida wa serikali. watumishi wengi vijana hukimbilia taasisi zingine kutafuta ajira baada ya kupata uzoefu. Huo ndiyo ukweli wa mambo pia wamedhibitiwa sana hata rushwa hakuna siku hizi.

Wanapewa Mshahara, House na Transport allowance. Ila kwa sasa TRA sio mamlaka inayolipa kuliko zote. Inazidiwa na Chuo cha IFM, Mifuko ya Jamii, Bandari nk. Pia baadhi ya Walimu wa sekondari za serikali wanapata mishahara mikubwa kuliko afisa wa TRA anayekagua Container linatakiwa kulipia kodi ya mamilioni. Watu wa operation wa chini anaanza na laki 6.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom