Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Mchunguze kwanini kabadilika. Utakuta kuna mwanaume alimzingua. Japo kuna wengine pasua kichwa ila sio wote. Wameumbwa kuwa wapole.Hao wanawake unaowaongelea siyo hawa wa leo hawa Mimba wanatoa wenyewe na kibuti wanakupa
Hawataki uwagande
Thats business mkuu!
Kukataliwa jambo la kawaida sana. Na anakutajia anavyotaka kwa mwanaume kuwa na pesa umpate. Ndio kigezo chake.Kwan wao mbona wanaawacha watu solemba kila siku. Utasikia huna hela wewe huwez nioa, acha wenye hela waweke kitu ndan. Laana haziwapati pia wao?
Hawa ni wengi sana.Mchunguze kwanini kabadilika. Utakuta kuna mwanaume alimzingua. Japo kuna wengine pasua kichwa ila sio wote. Wameumbwa kuwa wapole.
Tumia nguvu nyingi sana kutafuta pesa brother ukiinvest maarifa yako kuchambua wanawake utapoteza dira ya maishaMchunguze kwanini kabadilika. Utakuta kuna mwanaume alimzingua. Japo kuna wengine pasua kichwa ila sio wote. Wameumbwa kuwa wapole.
Unawazungumziaje wanawake/mabint wanaowazingua wanaume?ambao jamaa wameshagharamikia sana,wapo wadau wamesomesha wanawake,wapo wadau wamewafadhili wanawake wao waloamini watawaoa kwa kuwapa mitaj ya biziness,so unasemaje hapo?MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
Kuna vitu Vingine tuwe waangalifu jamani huwezi kukaa na mtoto wa watu miaka zaidi ya mitano umemtoa mimba zaidi ya 2 leo kakosea tu kidogo umefura humtaki tena.
Kumbe unataka Kuoa na Ushampata wa kumuoa ulikuwa unamlia timing tu umtafutie sababu na sasa umeipata. Kakuvumilia kipindi upo majalala na alikua anakutoa pesa za nauli anazopewa na wazazi wake kwa ajili ya matumizi yake., umemlaza guest za buku 5, umempeleka kumlaza kwa washikaji umeomba short time room. Hujui kama alikua anavaa ped au tambara. Wewe ulikuwa unawaza uroda tuu. Na alikupa utamu bila kinyongo.
Anyway utamuacha utamuoa huyo uliyempata, lakini jua tu kuna Mungu na Yote haya anayaona. So whatever happen usije ukabaki kusema "Every thing happens for a reason"
Sababu tayari ni hii nenda ukiijua huyu unamuacha hana jinsi atalalama na kulaani tu.
Tuwe Na Roho za Huruma jamani kumbe ndio maana watu wanabreak miezi mi4 tu baada ya ndoa.
kumbe ni kwakuwa behind humu kuna watu hawawaombei mema Unakuta Ndoa inaunguruma Usiku Mchana ni Machafuko tu hakuna ahueni. Kumbe chanzo ni laana za wanadamu wenzako.
Kumbuka na wewe una dada wakifanyiwa hivo utajisikiaje?
Kumbuka utapata watoto wa kike wakifanyiwa hivo itakuwaje?
Mwanamke mpaka kufanya ukatili mara nyingi kuna big reason behind. Japo sio wote kuna wengine ni wakatili tuu kutokana na maisha walio kulia. Ila wengi wao ni kwa ajili ya wanaume.
Wanawake wanathamani kumbuka ndio waliotuweka tumboni miezi 9, wengine wamejifungua kwa operation. Kakunyonyesha leo umekua wa kwanza kuwanyanyasa.
Unatumia lugha kali za nguoni.
MALIPO DUNIANI.
Nice..though umebase one side, malizia na other side.!MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Asante kwa maoni yako mazuriTumia nguvu nyingi sana kutafuta pesa brother ukiinvest maarifa yako kuchambua wanawake utapoteza dira ya maisha
Heshima pesa hata mkeo awe mkorofi with money she will do what you want
DuuuuhKashatendwa huyoooo
What goes around....................... around.Huyo mwanamke aliyeachwa ailaan akili yake kwa kukubali kuishi na mwanaume miaka tano bila ndoa.
Siwez acha kuoa mwanamke bora kisa kuna mwanamke aliyeishi na mm miaka 5
This is lyk a business the strong will win and married you must proove tht yr the best woman among women.
Duuuuuuh... omba Mungu.na nyie mnakaa kwenye mahusiano miaka mitano kuna utaalamu unasomea hapo? mjiongeze mwanaume miezi tu ukiona hana mwelekeo piga chini sepa ... acha kulazimisha mapenzi mnamtaja Mungu kwenye madhambi si sawa aisee............. binti ajiongeze akipata mwingine asikae nae mda mrefu kama issue ni ndoa
Hawaja fanya zuri ila. Sio wote wapo hivo..Unawazungumziaje wanawake/mabint wanaowazingua wanaume?ambao jamaa wameshagharamikia sana,wapo wadau wamesomesha wanawake,wapo wadau wamewafadhili wanawake wao waloamini watawaoa kwa kuwapa mitaj ya biziness,so unasemaje hapo?