Malipo baada ya kuripoti halmashauri

Malipo baada ya kuripoti halmashauri

Unapanda ndege wakati hapa jukwaani ulikua unalia njaa mkuu?

Panda guta, pikipiki, baiskeli, basi au malori ya mizigo.
Acha kutumia pesa nyingi kuliko kipato cha kazi yako.
 
Wanalipa kwa usafiri wa nchi kavu na majini, utapeleka ticket yako na wenyewe wana nauli zote za SUMATRA.
 
We panda ndege kwa raha zako ila hutolipwa na hiyo pesa ya nauli unaweza kuidai hadi unastaafu, we wahi kureport ili uingie kwenye pay roll mwez ujao upate mshahara
 
Huyu jamaa hafai kabisa na huko anakokwenda watoto jawatamuelewa kutokana na majigambo yake
 
Habari wana JF! Nimesikia kuwa ukisharipoti Halmashauri unarejeshewa gharama zote za usafiri kutoka kwako hadi Halmashauri.
SWALI LANGU: Ikiwa nimetumia usafiri wa gharama kubwa kama ndege ,nitarejeshewa pesa ya nauli niotumia au?
NOTE: tuna_assume kuna njia zingine za usafiri wa bei rahisi kama basi.
mna mikwara walimu wa ajira mpya ati ndege nikupe siri kwenye hii fani lazima uwe mchumi
 
Back
Top Bottom