Malipo baada ya kuripoti halmashauri

jac salum

Senior Member
Mar 23, 2017
183
129
Habari wana JF! Nimesikia kuwa ukisharipoti Halmashauri unarejeshewa gharama zote za usafiri kutoka kwako hadi Halmashauri.
SWALI LANGU: Ikiwa nimetumia usafiri wa gharama kubwa kama ndege ,nitarejeshewa pesa ya nauli niotumia au?
NOTE: tuna_assume kuna njia zingine za usafiri wa bei rahisi kama basi.
 
= Kuripoti

Badilisha bichwa lako la habari.
 
Hela za kujikimu kwa walimu huwa zinatoka wizara ya elimu moja kwa moja-pamoja na nauli lakini serikali haitambui usafiri wa ndege ni basi na tren tu
 
Wakati anafanya interview....aliulizwa swali tukulipe mshahara kiasi gani?
Enh..wowote ule
Kisha pata kazi...mbwatambwata!
 
Kama umetoka wilaya yaMafya unalipwa nauli ya ndege maan kule wanahesabiwa hawana usafiri mwingine zaidi ya ndege
 
Kama umetoka wilaya yaMafya unalipwa nauli ya ndege maan kule wanahesabiwa hawana usafiri mwingine zaidi ya ndege
Kuna mitumbwi Mkuu tena yenye matanga/mashuka. Mashua na engine boat. Au serikali haitambui hilo?
 
Sijafahamu Halmashauri nyingine lakin Halmashauri ya Lushoto haikutulipa pesa zetu za nauli tulioajiriwa 2015, hata ya kujikimu tulipambana tukapata kwa mafungu.
 
Kuna mitumbwi Mkuu tena yenye matanga/mashuka. Mashua na engine boat. Au serikali haitambui hilo?
Usafiri unaotambulika kwa Mafya ni ndege tu ndio maan tunaotok Mafya nauli zetu ni kubwa kuliko wengine wote
 
Back
Top Bottom