tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
kwa lipi? Ulitaka aseme nini! Kuwa kaenda chagua paroko au? Na yuko kwa maslahi yako au?! Utamkumbuka tenga kwa lipi baya la malinzi?! Think umeathirika kiasi kikubwa na habari za udaku.
Ujeuriwake uko.wapi ajakutukana kama kusema katoa ya moyoni
Bybclass teacher alikuwa nashda.kidogo
Huyo kweli "shemeji" yangu lakini sijapata kuwa na shemeji bogus zaidi ya huyo.
cc Jamal Malinzi, Bishanga
Watu wengine wajinga sana ujeuri upo wapi kwenye andiko hili.
Malinzi ana ujeuri wa walevi wa lubisi..huyu hapiti uchaguzi ujao mwache ajibinue binue tu dawaxyake inakuja
Huyo kweli "shemeji" yangu lakini sijapata kuwa na shemeji bogus zaidi ya huyo.
cc Jamal Malinzi, Bishanga
Name calling iko wapi hapo wakati nime wa cc wana JF wawili tofauti, hao wote ni shemeji zangu na mmoja ni mpenzi wa mpira na mmoja ni muuwaji wa mpira wa Tanzania.
Hebu noa jembe tukalime. Kwetu mwanaume anasifiwa kwa kulima ekari mbili kwa siku.
Wanajuana hawa