Malimwengu

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Inapendeza mno mtu anapokuwa na elimu ya imani zote mbili na kuitumia vizuri kwa manufaa ya wote
 
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Kwenye kitabu hikihiki pia imeandikwa "Msile ndege yeyote asiyepasuliwa miguu!!
Huli bata??
 
Kwenye kitabu hikihiki pia imeandikwa "Msile ndege yeyote asiyepasuliwa miguu!!
Huli bata??

Weka ushahidi, usilete maneno yako matupu, mimi nimekuwekea na ushahidi na namba za aya.
 
Weka ushahidi, usilete maneno yako matupu, mimi nimekuwekea na ushahidi na namba za aya.

Imeandikwa pia Ngamia asiliwe na pia samaki yeyote asiye na magamba!
Huli kambale na Papa!!?
 
Kwahiyo unakula ngamia kwa kujilinganisha na wagalatia kwa kuwa wao wanakula nguruwe?

Nani alikudanganya si ningejilinganisha kwa kula nguruwe? Ni wapi ulisikia Ngamia ni najisi?

"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).
 

Ukinambia wapi pamesemwa nguruwe ni najisi nitakuonesha wapi paliposema kuwa ngamia ni najisi
 
Ukinambia wapi pamesemwa nguruwe ni najisi nitakuonesha wapi paliposema kuwa ngamia ni najisi

Hivi umesoma ulipojibu hukuona hiki:

"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).
 

Ungeanza kusoma kuanzia mstari 1 ndipo ungejua. Lakini kwa kukusaidia, hasa soma mstari wa nne
WALAWI 11: 3-4

\v 3 Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu ya kupasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala. \v 4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.

Sura inayoharamisha nguruwe ndiyo imeharamisha ngamia pia, cha ajabu unajifanya kutoona sehemu inayoharamisha ngamia. Mnafiki mkubwa!!

Soma pia Kumbukumbu la Torati 14:7 ....Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;

Usafi wa ngamia unaomzidi nguruwe kwa mujibu wa maandiko umetoka wapi? au kwa kuwa nguruwe hafugiki jangwani? unafiki ni dhambi mbaya sana kuliko hata uzinzi. Jitahidi uache kuwa mnafiki.
 
Kutoa elimu tu kwa hao mnaodandia imani zawatu juu juu ....unaposoma Biblia agano lakale lazima usome na Agano jipya pia. Uelewe kuwa agano jipya limeletwa na Yesu Kristo ambapo waislam mnamuita nabii Issa (ambaye kuzaliwa kwake kumeelezwa katika Qur'an hatua kwa hatua kwamba alizaliwa bila kuwa na baba and still waislamu wa bongo wanamdhihaki). Yesu alikuja kurekebisha mambo ambayo yamekuwa yakiendelea ikiwemo sheria ya Mussa. Ktk agano lakale wanawake walibaguliwa, watu waliuawa kwakupigwa mawe..lakini Yesu alirekebisha, kumbuka story ya Maria Magdalene ktk agano jipya..alitaka kupigwa mawe kwa uzinzi, na Yesu akawaambia asie na dhambi awe wakwanza kumpiga mawe. Kuhusu vyakula aliwaambia usikiite najisi kitu alichokiumba Mola wako, najisi nikile kitu kitokacho mwilini mwako, maneno machafu, ukitapika, nk. Watu tinaishi imani hizi kinafiki ... Kwakujionyesha kwa watu kuwa watu wa dini lakini wanayofanya nyuma yaazia noma. Tujifunze zaidi mission, themes tusing`ang`anie mambo flaniflani tu ambayo tayari yameshatafasiliwa. Unakuta mtu anajionyesha kafunga lakini huku ni mchoyo, anatusi watu hovyo, nk. Kama kweli vitabu vimesema Yesu alizaliwa bila baba na sie wakristo tunaamini kuwa na sifa ya uMungu maana ninani katika dunia hii alishazaliwa bila kuwa na baba? Akafanya miujiza, akafa na akafufuka....tusijidai viziwi tufuatilie issues natusilubumiwe nawachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…