Malimbwata Hata Majuuuuuu?????

Malimbwata Hata Majuuuuuu?????

Mfumo wa mapenzi wa watu wa Asia ni tofauti kidogo na sisi Waafrika...

Kwa Waasia hususani Wachina mwanamke huwa ana uwezo wa kufura mbele ya mpenziwe...

Halafu kwa kawaida wanawake wa Kichina wakipenda hupenda kweli huwa hawana longolongo...
 
Sinema hadi kupelekwa hospital na polisi mkuu....Hapa ni haki sawa kwa wote imechukua mkondo.

Si ndio sinema inanoga? Yaani jamaa kapigwa na binti mpaka amelazwa! hii ni habari nzito. Ingekuwa vice versa wala isingekuwepo kwenye magazeti na wala tusingekuwa tunaijadili - ni sawa tu na story ya mtu kung'ata mbwa V/S mbwa kung'ata mtu.
 
Mfumo wa mapenzi wa watu wa Asia ni tofauti kidogo na sisi Waafrika...

Kwa Waasia hususani Wachina mwanamke huwa ana uwezo wa kufura mbele ya mpenziwe...

Halafu kwa kawaida wanawake wa Kichina wakipenda hupenda kweli huwa hawana longolongo...

Mkuu mbona wanadai wazungu nao wanajua kulove ila makofi hayatembei???...Afrika tunajijua wenyewe.
 
Anakua kama kabahatisha girlfriend bana.angekamatwa na huyo aliepigwa makofi naye apewe adhabu..
 
Tatizo la China mpaka mwanamke ni mcheza ngumi, haishangazi kuona jamaa alihofia kudhaliliswa zaidi ya hapo pale tu ange jaribu kubisha maamuzi ya huyo mpenzi wake maana alijua angechezea karate. Bola mke wangu wa kindengereko hata akini fumania anakimbilia kulia mwenyewe.
 
Mfumo wa mapenzi wa watu wa Asia ni tofauti kidogo na sisi Waafrika...

Kwa Waasia hususani Wachina mwanamke huwa ana uwezo wa kufura mbele ya mpenziwe...

Halafu kwa kawaida wanawake wa Kichina wakipenda hupenda kweli huwa hawana longolongo...
Nahisi wenzetu Watakua na mfumo jike.
 
Back
Top Bottom