Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

Kwa mara ingine viongozi wa serikali wametuonesha kuwa ni watu wenye ukwasi,yaani hela zote hizo ni vijihela? Halafu ilikuaje aibiwe had pete na kibaka? Huyu kibaka alikuwa wa kike au kiume?
 
Hajaibiwa kupitia dirishani wewe, Changu alieingia nae ndio kamkomba. Kwa nchi za wenzetu hii ni kashfa kubwa sana, pengine hata Anaweza kushtakiwa kwa uzembe. Maana hata hiyo laptop itakua Na Nyaraka mbalimbali za siri za serikali.
najua ika najaribu kulinganisha hoteli aliyolala na jins alivyoibiwa hadi pete na chupi, kweli yawezekana kaibiwa kupitia dirishani??
 
Mimi wamenifurahisha hawa wezi baada ya kumuibia na ile mipete yake ya silver ya kisheikh Yahya Husein.
 
nasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..

ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....

anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........

pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....

huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......
 
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?

Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo

Ila nadhani kuna haja ya kuangalia huduma na ubora wa Hoteli hizi..

Kinondoni maeneo ya "komakoma" nadhani,kuna hoteli moja ina jina gumu hivi,hiyo ina vyumba vya Tsh 200,000/-!! Mbele yake kuna kama gereji bubu,nadhani ni open space pale... Tena ziko mbili,moja inaitwa .... Annex.

Nilipoingia,sikuona cha kutisha sana. Suite yake ya kawaida tu,kwanza ndogo,sijui labda vifaa walivyoweka....kama viliwekwa wakati inflation iko juu..
 
najua ika najaribu kulinganisha hoteli aliyolala na jins alivyoibiwa hadi pete na chupi, kweli yawezekana kaibiwa kupitia dirishani??

Mimi nahisi alikuwa na mdada au shoga; depends on his preference! Na ninampongeza huyo aliyechukua mgao wake wa keki ya taifa! I hope amepata mtaji wa biashara!
 
sidhani kama kuna hotel ya lk 4 Tanzania hii umesikia vibaya!

Wewe uko wapi mkuu? Grumet lodge in Serengeti is in thousands usd and you take a package of days ili up ate nafasi there is Beobeo five stars camp hotel nayo is in thousands of dollars per night in a package of days..any. Way usilojua.....ila usi conclude Kama ulivyofanya maana nimezikumbuka nyingine kibao hapa hapa tz
 
nasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..

ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....

anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........

pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....

huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......
well said
 
Sifa moja ya viongozi wa Tanzania ni uwezo ndogo si wa kuongoza tu bali hata kufikiria. This arrogant and stupid person has nothing that takes even to be a class monitor. He is too of himself and from what am reading he is also very stupid and the reasons are 1. From whom is he protecting himself from with a number of weapons? My take in this is that he does not belive in security offered by our forces. 2. He is walking with thousands of Dollars within the country. My take in this he contributing to inflation of our shilling sasa muhujumu wa nini kwenye mawaziri? 3.He is using prostitutes. My take he has no moral ground to be our leader. Mnakumbuka Nyerere alimzungumzia waziri wa Uingereza aliyejiuzulu kwa barua ambayo hakujibiwa kwa kutembea na dada wa mtaani si ndio haya? Kweli Mungu atujalie kutuondolea viongozi wasiostahili. Nchi inakwenda alijojo kwa sababu viongozi wa aina hii.ggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrfu........
 
nasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..

ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....

anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........

pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....

huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......

kwa sababu ni naibu waziri wa madini umeunganisha dot mwenyewe....
 
kaibiwa kwenye ile hoteli ya lowasa,iliyojengwa kwenye eneo ambalo lilikua la magereza,ambalo kabla haijajengwa hiyo hotel tulizoea kuona wafungwa wakilima mazao mbalimbali.

ameibiwa na dada poa aka changudoa aka cd aka mgambo.
hiyo hotel haiwezekani ukaibiwa dirishani,labda ujiibie mwenyewe tena kwa taaaabu sana.
polisi wameshiriki kuficha aibu ya mwaka.
 
Back
Top Bottom