yule aliyemwibia walichezanae dili nn mi nashangaa alikodi chumba afu yy akaka sebuleni hadi alfajiri ss chumba amelipia cha nn?
aombae msamaha jamani usamehewa,walio wengi humu ni wanaume,na tabia ya malima japo si wote inashabihiana na baadhi yetu humu ndani,mpeni msamaha,lakini muonyeni na kwa ushauri binafsi mwambieni kuwa ni vyema akaweka taarifa sahihi kuhusu tukio,manake isije ikaisha leo kisha ikaja kuanza kabla ya kuisha kuwa kumbe alisema kaibiwa dola 4000 na sivyo kumbe zilikuwa ni dola 400,000.Na kuwa akuibiwa akiwa sebureni bali alikuwa na kipozea stress za purukushani ya majukumu ya kibongo ambayo kwayo saizi ni presha kwa kuwa hata waziri hana uakika na ajira yake hivyo nae alikuwa kwenye kiguzi cha ulefu wa kamba yake akijarbu kuchuna lakini dada yetu pia akamuweka sawa kwake kuwa kibuzi.
Hakika wana JF kwa niaba ya Watanzania mpeni msamaa apewe taadhari husika kwa kuweka kumbukumbu sahihi kwa kuwa kama ikija gundulika vinginevyo na maelezo yake mbele ya umma,hakika itakuwa dhambi mbaya sana kwa kufuga ugonjwa kwa kuwa kwa kusema wazi atawasaidia Watanzania wengi wenye kupenda viburudisho pindi wawapo kazini maeneo mbali na nyumbani watajiepusha na viburudisho kwa kuona ni hatari na si salama kwa afya na vitendea kazi vya mhsusika na mbaya sana kwa maadili ya viongozi ambae anapaswa kuishi kwa sura ya mfano wa kupigiwa picha.
Tumepata Msamiati mpya ,kuwa....... MALIMARISED....... , dada poa wanaweza kuwa na ujuzi wa MALIMAISM....

Kwa asili ya waswahili wa pwani fumanizi ni sifa kwa wanaume na sidhani kama hilo ni tatizo kwa mtu kama AM. Tatizo ni kukosa umakini na kupoteza mali zote hizo hasa za serikali. Uzuri wa waswahili hakuna jambo lolote wanalochukulia serious. Mtashangaa mnapiga makele kwenye mitandao mwenzenu alipo anawashangaa... Hawajawahi kuwa na tatizo la uadilifu hawa ndugu kwenye nafsi zao, ndiyo maana mambo yanaweza kuharibika nchini, mfano migomo ****** akakwea pipa, huyoooo! Ughaibuni. Waswahili bwana!Akubali kuwa kakosea yaishe.
Kukosea ni kawaida ya binadamu na ndio kujifunza.
Kwani mtu mzima akikosea si inaeleweka?
Sasa mlitakaje jamani? Mtu mzima yeyote awaye yule anaweza
kuona " mtu mzima mwenziye kaumbuka".
Hebu tujifanye tumeshaelewa na tumsamehe.
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli anaujua mwenyewe.
Kama ni makosa ( kubeba pesa nyingi, kubeba silaha hata zisizo za lazima,
kukaribisha wageni wasiohitajika, kukaa chumba bei mbaya bila sababu,
kutoa maelezo marefu yenye kukinzana etc etc) keshajifunza.
Tumsamehe tu.
Kwa asili ya waswahili wa pwani fumanizi ni sifa kwa wanaume na sidhani kama hilo ni tatizo kwa mtu kama AM. Tatizo ni kukosa umakini na kupoteza mali zote hizo hasa za serikali. Uzuri wa waswahili hakuna jambo lolote wanalochukulia serious. Mtashangaa mnapiga makele kwenye mitandao mwenzenu alipo anawashangaa... Hawajawahi kuwa na tatizo la uadilifu hawa ndugu kwenye nafsi zao, ndiyo maana mambo yanaweza kuharibika nchini, mfano migomo ****** akakwea pipa, huyoooo! Ughaibuni. Waswahili bwana!
Akubali kuwa kakosea yaishe.
Kukosea ni kawaida ya binadamu na ndio kujifunza.
Kwani mtu mzima akikosea si inaeleweka?
Sasa mlitakaje jamani? Mtu mzima yeyote awaye yule anaweza
kuona " mtu mzima mwenziye kaumbuka".
Hebu tujifanye tumeshaelewa na tumsamehe.
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli anaujua mwenyewe.
Kama ni makosa ( kubeba pesa nyingi, kubeba silaha hata zisizo za lazima,
kukaribisha wageni wasiohitajika, kukaa chumba bei mbaya bila sababu,
kutoa maelezo marefu yenye kukinzana etc etc) keshajifunza.
Tumsamehe tu.
Ndu zangu kama kweli inavyosemekana nikweli mwenzetu yaliyomsibu yalitokakana na Ugeni chumbani mwake, mimi naita kamati ya BURUDANI. Nikweli haka kamchezo kapo na kamejipatia umaarufu kwa jina la NYONYA SWEET. Hivyobasi kamandivyo twaweza sema kilichomgarimu mwenzetu ni NYONYA SWEET. Mchezo uko hivi, kabla ya BURUDANI mtoto wa kike tayali, anakuwa amekwisha pakaza chuchu za maziwa yake dawa ya kulevya. Hivyo mnapokuwa kitandani atakushawishi umnyonye maziwa kwa luga ya unyenyekevu, akisema NYONYASWEET, Hivyo na wewe kwakujowa kuwa unapewa BRUDAN, pasipo shaka utanyonya. ukishanyonya itakuchukuwa sekunde kadhaa, baada ya hapo huna utakachohtaji zaidi ya kuchapa Usingzi, na ukisha lala tu! kila ulichonacho kwa wakati huo ni harali yake, hivyo kubeba kila ulichonacho au kuchagua kipi abebe kipi asibebe itategemea na uamuzi wake. Hivyo na waasa ndgu zangu unapochukua Demu usiyemjua epuka NYONYASWEET. Vinginevyo unapokamata myama usiye jua katoka poli gani yumkini kuwa makini nae. Baba nasema epuka kupiga MNYONYO, hovyo.
Unaniambia malima hajui umuhimu wa kuwa na Account ya benk? Na kuwa na ATM CARD? Maana sikuhizi kuna master card unayoweza kutoa pesa popote pale dunian... Waziri mzima... Anatuaibisha watanzania....
wanaimba verse za hiphopNgege wafananao huruka pamoja!Watanzania kwa usanii, duh! Angalieni body language. Bado huyu!na bosi wake! Na huyu je? au huyu! Nimechoka!
Unaniambia malima hajui umuhimu wa kuwa na Account ya benk? Na kuwa na ATM CARD? Maana sikuhizi kuna master card unayoweza kutoa pesa popote pale dunian... Waziri mzima... Anatuaibisha watanzania....