Akubali kuwa kakosea yaishe.
Kukosea ni kawaida ya binadamu na ndio kujifunza.
Kwani mtu mzima akikosea si inaeleweka?
Sasa mlitakaje jamani? Mtu mzima yeyote awaye yule anaweza
kuona " mtu mzima mwenziye kaumbuka".
Hebu tujifanye tumeshaelewa na tumsamehe.
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli anaujua mwenyewe.
Kama ni makosa ( kubeba pesa nyingi, kubeba silaha hata zisizo za lazima,
kukaribisha wageni wasiohitajika, kukaa chumba bei mbaya bila sababu,
kutoa maelezo marefu yenye kukinzana etc etc) keshajifunza.
Tumsamehe tu.
Ni hivi luv huyu naibu waziri katika ziara yake alizidiwa akachukua changu akaibiwa sasa anataka kutudanganya,changu hajachukua silaha kwakuwa alikuwa na shida ya hela tu na laptop atauza,umeelewa sasa ?Sijaelewa kabisa,
Kwake 1.5m na $4000 ni kama sisi tunavyotembea na vielfu hamsini vyetu na $50 pamoja na ATM za kuringishia lol!Unaniambia malima hajui umuhimu wa kuwa na Account ya benk? Na kuwa na ATM CARD? Maana sikuhizi kuna master card unayoweza kutoa pesa popote pale dunian... Waziri mzima... Anatuaibisha watanzania....
Wewe ungemtaja ? kuna watu baada ya kulala nje huenda nyumbani asubuhi na polisi wa kukodi eti walilala selo 'wifu hebu mpe huyu elfu hamsini kanisaidia'.Amtaje changu wake!
Sasa akubali nini?
Toka lini kubeba vijipesa ni makosa, viwe vingi au kidogo?
Toka lini kuwa na silaha Hotel, kama unazimiliki kihalali ni kosa?
Hilo la wageni unasema wewe.
Heading ameifanya kama vile malima katoa tamko la kukubali kukosea.Unaomba akubali au unatutaarifu kuwa amekiri kuwa kakosea? Fafanua mkuu
yule aliyemwibia walichezanae dili nn mi nashangaa alikodi chumba afu yy akaka sebuleni hadi alfajiri ss chumba amelipia cha nn?