Malila alinishawishi nikaingia kazini naona matunda karibia

Malila alinishawishi nikaingia kazini naona matunda karibia

Nimependa style ya mabanda...hayajatumia gharama kubwa..big up
 
Ni bure kabisa, yaani kabisa. Nenda pale wewe mwenyewe eleza shida yako bila hofu, watakuhudumia vizuri.
kumbe malila uko dar asante name nitajitahitdi kwenda hapo nikajifunze
 
Mkesha hoi uko wapi, sijakuona muda mrefu kule jukwaani kwetu. Tumeongeza jukwaa la parachichi kaka.
Kaka kweli nilipotea kwa muda ... upepo wa dharuba ulinitwanga tena... ila nimisharudi... tufanye mchakato tujumuike pamoja Mkuu...
 
Kaka kweli nilipotea kwa muda ... upepo wa dharuba ulinitwanga tena... ila nimisharudi... tufanye mchakato tujumuike pamoja Mkuu...
Nilitarajia kukuona kwenye chai yetu ya mwaka huu pale Tls, ile chai ilikuwa sio mchezo.
 
Malila hawa jamaa wa Tanhad wanatengeza na sausage? Kuna moja nilikula Rudy Farm eneo la Bahari beach zimetulia sana
 
Nilitarajia kukuona kwenye chai yetu ya mwaka huu pale Tls, ile chai ilikuwa sio mchezo.
Kiongozi...ndo maana naomba ufanyike mchakato wa kurejea jukwaani.. vingi vinanipita kaka...! Bila kusahau Mkuranga...
 
Back
Top Bottom