Mali za muluzi zakamatwa malawi: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mali za muluzi zakamatwa malawi:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Aug 5, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,587
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Taasisi ya kuzuia rushwa malawi ACB imekamata mali za aliekuwa RAIS WA MALAWI BAKILI MULUZI....kama dhamana katika kesi ya rushwa inayomkabili....hatua hiyo imechukuliwa wakati bado inaendelea na uchunguzi katika kesi hiyo ambayo muluzi anadaiwa kujiingizia zaidi ya doller million 11...,taasisi hiyo imesema wamkamata magari 44 kati ya 149 anayomiliki muluzi...na jumba alimokuwa anaishi lenye thamani ya mamilion ya fedha katika mji wa blantyre...vingine vilivyokamata ni jumba lake la biashara la KEZA OFFICE PARK...ambalo lilizinduliwa kwa mbwembwe za ajabu na aliekuwa rais wa tanzania FISADI BENJAMINI WILLIAM MKAPA..
  na pia imesema imekamata account zake zote...afisa huyo amesema uchunguzi bado unaendelea kujiridhisha ili kuendelea kukamata mali zaidi...

  Kwa taarifa hii Je kuna umuhimu wa kuwa na PCCB TANZANIA???
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pdidy TAKUKURU ipo kwaajili ya kukamata rushwa ndogo ndogo zisizo na madhara makubwa kwa taifa.TAKUKURU sana sana itashughulika na watumishi wa serekali wa kada ya chini kama nesi wanaowadai shilingi elfu tano akina mama wanakwenda kujifungua.Mahakimu wa mahakama za mwanzo na askari polisi wa vyeo vya chini hawa jamaa wanao uwezo mkubwa wa kudeal nao lakini hawana uwezo wa kuwashughulikia maafisa waandamizi wa serekali.
   
Loading...