Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Madini makubwa ya Ruby yanauzwa mnada wa Dubai hatari kweli Mali zetu zinakwenda kuuzwa nchi za nje utafikiri vile sisi hatuna Serikali ya kuweza kuthibiti madini yetu yasiibiwe na kuuzwa katika minada ya nchi za nje.

Aliwahi Kusema hayo Marehemu Rais Magufuli kuwa akiondoka yeye mambo ya ufisadi wa madini utarudi kama zamani na ndio tunona sasa mambo yamerudi kama zamani.

Mungu tuokoe na haya majangaa amin.

Madini makubwa ya Ruby yanauzwa mnada wa dubai hatari kweli Mali zetu zinakwenda kuuzwa nchi za nje utafikiri vile sisi hatuna Serikali ya kuweza kuthibiti madini yetu yasiibiwe na kuuzwa katika minada ya nchi za nje.

Aliwahi Kusema hayo Marehemu Rais Magufuli kuwa akiondoka yeye mambo ya ufisadi wa madini utarudi kama zamani na ndio tunona sasa mambo yamerudi kama zamani.

Mungu tuokoe na haya majangaa amin.

View attachment 2193521
Mali yenu na Nani?
Niingie shimoni Mimi
Nipige baruti Mimi
Nivunje mawe Mimi
Halafu shobo za Ruby mlete ninyi?
Tuheshimiane
 
Madini makubwa ya Ruby yanauzwa mnada wa dubai hatari kweli Mali zetu zinakwenda kuuzwa nchi za nje utafikiri vile sisi hatuna Serikali ya kuweza kuthibiti madini yetu yasiibiwe na kuuzwa katika minada ya nchi za nje.

Aliwahi Kusema hayo Marehemu Rais Magufuli kuwa akiondoka yeye mambo ya ufisadi wa madini utarudi kama zamani na ndio tunona sasa mambo yamerudi kama zamani.

Mungu tuokoe na haya majangaa amin.

View attachment 2193521
Kuna watu wenye Mimba zao za chuki kwa Mwendazake watakutukana sababu tu umelitaja jina lake.

Ndio hivyo mama kasema yeye sio SIMBA WA YUDA,so acha watu wale kwa urefu wa kamba ni mwendo wa kulamba asali.
 
Anayechimba madini ndy mwenye madini,anauamuzi wa kufanya chochote anachokitaka acheni ujinga nyie wa tanga na nyika.
Kama mnauwezo wazuiyeni wasichimbe madini yao
Mnabweka halafu hamng'ati shumbaamitiii
 
hiyo Ruby ilichimbwa Mtaka nini, Winza, Kibakwe, Mpwapwa, Dodoma sehemu ambapo kulikua na mashamba ya watu yalivamiwa wakaanza kuchimba bila fidia yoyote mpaka Hilo eneo lilipofungwa, ndani ya kipindi kifupi kama miezi 8- mwaka 1 lakini kulifurika watu wa kila aina na kutoka mataifa mbalimbali ie wachina, wasir lanka, wakorea nk wakavuna walichovuna kisha wakawaacha wananchi wa maeneo hayo na umasikini wao bila maendeleo ya kitu chochote sio maji safi, shule au huduma za afya bora wala barabara halafu leo jiwe moja tu limeuzwa $120m sasa kuna mawe mangapi yametoka huko winza yenye dhamani zaidi au sawa na hilo lililouzwa Dubai
 
Hii nchi ni sawa la shamba la bibi anaye taka kuvuna mwache avune. Serikali ya CCM kila mtu mjanja na ujanja wao matokeo yake kSerikali haina pesa wawekezaji wana pesa walala hoi ndio masikini wakutupwa.Mungu atusaidie tupate Viongozi wenye uchungu wa mali za nchi yetu amin
 
Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657

CONVERSION OF CARAT TO GRAMS

1 carat = 0.20 grams
Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg

Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657
 
Nani aliwaambia hiyo ni mali yenu na sio ya mchimbaji?
Nyie cha kwenu hapo ni kodi tu.
 
Hiyo hela inatosha kununua pump kubwa za maji za kutoa maji Wami na Ruvu na Dar wakasahau shida ya maji.

Kama serikali ingekuwa imechimba yenyewe, yaani mchimbaji ajifunge mkanda mwenyewe, mita kadhaa chini ya ardhi wengine wanachukua mpaka miaka wakihenyeka then anapata watu wanaanza nye nye nye eeee, nendeni mkachimbe muone kama kazi nirahisi
 
Back
Top Bottom