Mali asili Zetu Zinatoweka kwa Kasi, Tuwe Wazalendo !

Richard Mlangi

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
380
193
Mali asili zetu zinatoweka kwa kasi sana. Weupe wanazihamisha kwa kutumia vibaraka wao waliopewa dhamana. Hivi sasa Tanzania hakuna mti unaoitwa Mninga wala Mkongo, imevunwa yote kwa kasi. Ukienda kwenye madini hivyohivyo! Na sasa kuna hili suala la meno ya tembo, tembo wetu wanaisha !!!!! This is what we call Neo - Colonialism.
 

Attachments

  • 00221917e13e12110a2301.jpg
    00221917e13e12110a2301.jpg
    32.5 KB · Views: 38
Basi utakuta katika container kama hili, TRA na TPA (Bandari) wanasema walikagua hawakuona kitu! Amini nawaambieni, nchi hii tuna viongozi mbao wako tayari kusign mkataba wa kuuza nchi ili kujipatia fedha!
 
Ngoja nimpigie Jk nimwambie kwa sauti ya ukali,
iweje aruhusu haya yatokee wakati nilimkataza.
 
Ngoja nimpigie Jk nimwambie kwa sauti ya ukali,
iweje aruhusu haya yatokee wakati nilimkataza.

Ni vizuri ungetupa picha ya kile ulichoona kikihamishwa isjekuwa tunaongelea hadithi za kutunga tupe japo habari moja tuweze kuijadili
 
Back
Top Bottom