c_alphonce
Member
- Apr 27, 2024
- 5
- 11
Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama.
Kwa mafundisho mazuri, kanuni bora za hisabati hazina mashiko kama mazingira si ya furaha. Cheeers kwa walimu wenye furaha, cheers kwa wadada wa kazi wenye furaha, na wazazi wafundishao watoto wao kwa furaha.
Kanuni ya "Connect and redirect" inasaidia sana especially mtoto anapodai anaumwa tumbo au kichwa ilhali ni saa ya kwenda shule. Unajua fika anasingizia tu; lakini iko namna bora ya kusema naye. Pg 5
"Watoto wasiofundishwa wataendelea kuwa watoto hata watakapokuwa watu wazima. Mafunzo ndio humtoa mtu kutoka utoto kwenda utu uzima" pg 3
TAFUTA KITABU CHA DONDOO 24 ZA MALEZI kitakujenga sana.
Mahali:
Airports books JNIA
House Of wisdom POSTA
Au 0622334199
0656090300