Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,709
- 105,312
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kama hivi vidude vinavyoitwa Junia ndio huwa vipumbavu sana
Tena kama hivi vidude vinavyoitwa Junia ndio huwa vipumbavu sana
Kanaweza kuja kuchezea mpira palepale sebuleni halafu kanakubamiza mashuti ya uso huku kanacheka, wakati mwingine kanakuuliza leo unakula kwetu au unaenda kula kwenu, kwanza kwenu mnakulaga pilau na nyama ya kuku