Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,150
- 2,924
Unasikia mama yake anaongea kama zuzu eti "hapo ukimnyang'anya huo mpira hapatakalika wala hapatalika atalia huyo"Na Wazazi unakuta wanacheka tu,aisee malezi ya ajabu sana
Unasikia mama yake anaongea kama zuzu eti "hapo ukimnyang'anya huo mpira hapatakalika wala hapatalika atalia huyo"Na Wazazi unakuta wanacheka tu,aisee malezi ya ajabu sana
Nimeikumbuka hii [emoji3][emoji3][emoji3].Au mwache akikataa kula ,njaa ikimtandika sawa sawa anakuja mwenyewe kuomba chakula.We ungepata murder case [emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli alisemaga huwezi bembeleza mtoto kula eti kula eeh, ukila yai utanenepa, Piga kibao uone kama hali. Malezi ya kizungu sio kabisa.
Chief mbona una hasira sana? Mtoto sio wako makasiriko ya nn? Yaan umeenda kwenye nyumba za watu halafu unataka kuwapangia maisha?Hua napatwa hasira na malezi ya watoto wa maboss ivi inakuwaje mtoto ataki kula chakula mpaka simu ndio ale chakula
Naona nitakuja kupasua mtoto wa mtu kichwa mtoto anajiliza mda wote bila sababu aki amua kulia mpaka mzazi kichwa kinawaka moto nitakuja kupiga vibaya nime amua niondoke tu kwa rafiki yangu mapema tu mtoto analia kama kengele
Ila kuna watoto wanakera jamani, na wazazi ndiyo wa kulaumiwa kwa malezi ya hovyo.Hua napatwa hasira na malezi ya watoto wa maboss ivi inakuwaje mtoto ataki kula chakula mpaka simu ndio ale chakula
Naona nitakuja kupasua mtoto wa mtu kichwa mtoto anajiliza mda wote bila sababu aki amua kulia mpaka mzazi kichwa kinawaka moto nitakuja kupiga vibaya nime amua niondoke tu kwa rafiki yangu mapema tu mtoto analia kama kengele
Pana sehemu tulikaribishwa,unaona kabisa hii familia watoto wamelelewa haswa.Watoto wanamaliza kula chakula wanakuja kushukuru Wazazi na wageni wote mliopo.Ilibidi nimuulize yule mtoto kwanini ametushukuru na sisi wakati ni wageni? Alinijibu Wakubwa wote huwa wanafanya kazi kutafuta chakula cha sisi watoto.Ila kuna watoto wanakera jamani, na wazazi ndiyo wa kulaumiwa kwa malezi ya hovyo.
Kuna siku nilimtembelea rafiki yangu, ile nafika tu nimepark gari kwenye parking shade yao, toto likaja linapiga kelele, "babaaa, ona huyu kapaki sehemu yako", baba yake akawa anacheka tu bila kuwa mkali walau kidogo. Sasa sijui yule mtoto alijua ntalala pale kwao! Wakati huo baba yake alikuwa kapark nje nadhani alikuwa na lengo la kutoka tena.
Nikaingia ndani, nikiwa najibu email ya muhimu kwa simu, toto likanirukia mgongoni likanipokonya simu likakimbia nayo chumbani! Nikapata moto! Eti baba mtu anamwambia, "we J hebu rudisha simu ya anko", mtoto hakurudisha ila baba akapotezea akajifanya anaendelea na maongezi! Aisee nilichukia sana!
Nikaletewa soda na house girl wao, ile napiga funda la kwanza mtoto karusha mpira ukagonga kwenye kochi halafu ukaangukia kwenye stuli iliyokuwa na soda yangu! Soda ikanimwagikia mapajani. Baba yuko kimya tu, eti anamwambia, "J ukiendelaea na ukorofi kesho sikupeleki kula ice cream!", hakuna cha kuonesha ukali wala nini!
Kilichofata nikajifanya nimepigiwa simu nahitajika mahali urgently. Nikarudi kwenye gari nikawasha heater walau suruali ikauke ili watu wasije wakanidhania vibaya.
Aisee wazazi badilikeni. Malezi ya namna hii hayafai hata kidogo. Kwa yule jamaa niliapa sitakaa nirudi tena. Shwain!!!
Tabia mbaya lazima isemwe na si swala la kupangia watu.Na ukienda sehemu ukakuta watoto wamelelewa vizuri pia una wapongeza wazazi.Chief mbona una hasira sana? Mtoto sio wako makasiriko ya nn? Yaan umeenda kwenye nyumba za watu halafu unataka kuwapangia maisha?
Mkuu we acha tu! Usipokuwa na uvumilivu unaweza ukajikuta unamzaba vibao mtoto wa mtu halafu hali ya hewa inabadilika, ili kujiepusha na mambo kama haya inabidi ujiondokee tu yani.Hii nilisimuliwa pia scenario kama hiyo yako,juice na bites zimeletwa kwa ajili ya wageni,mtoto akapita nazo.Akawa anadokoa cookies na anachukua glass za wageni anakunywa kila anapojisikia.Wazazi wapo tu wanaangalia.Kuna familia zingine hapana aisee,malezi ya kishenzi kabisa kwa watoto.
Huyu mtoto aliyewashukuru hadi wageni ni mtoto mwenye malezi bora sana ambayo yatamsaidia mno siku za usoni. Na there is no doubt kwamba hata na yeye akiwa na familia atawalea watoto wake kwa misingi hiihii.Pana sehemu tulikaribishwa,unaona kabisa hii familia watoto wamelelewa haswa.Watoto wanamaliza kula chakula wanakuja kushukuru Wazazi na wageni wote mliopo.Ilibidi nimuulize yule mtoto kwanini ametushukuru na sisi wakati ni wageni? Alinijibu Wakubwa wote huwa wanafanya kazi kutafuta chakula cha sisi watoto.
Hii ilipelekea niliyekuwa nae baada ya kuondoka pale kunisimulia scenario kama hiyo yako,juice na bites zimeletwa kwa ajili ya wageni,mtoto akapita nazo.Akawa anadokoa cookies na anachukua glass za wageni anakunywa kila anapojisikia.Wazazi wapo tu wanaangalia.Kuna familia zingine hapana aisee,malezi ya kishenzi kabisa kwa watoto.
Hahahaaaaaaa!!! eti JuniaJunia
Junia usimhangaishe mgeni, jamani?muache junior wetu, junior bila simu hali, mpe simu anyamaze
Nyie ndio mnauaga watoto kwa mahasira yenu ya kipuuzi. Mtoto anafundishwa na kuelekezwa sio kupigwa na kukatwa kichwa. Huko kulia ndio utoto wenyewe shaona mtu mzima analoa kama kengele?Hua napatwa hasira na malezi ya watoto wa maboss ivi inakuwaje mtoto ataki kula chakula mpaka simu ndio ale chakula
Naona nitakuja kupasua mtoto wa mtu kichwa mtoto anajiliza mda wote bila sababu aki amua kulia mpaka mzazi kichwa kinawaka moto nitakuja kupiga vibaya nime amua niondoke tu kwa rafiki yangu mapema tu mtoto analia kama kengele
well subir kidogo juniour asogeeNdio ila ana miez minne
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]well subir kidogo juniour asogee
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah ila watu bhana😂😂😂😂🤣🤣 mcheza viduku 🤣🤣🤣🤣🤣 aisee inachekesha muno aisee🤣🤣🤣🤣Kanaweza kuja kuchezea mpira palepale sebuleni halafu kanakubamiza mashuti ya uso huku kanacheka, wakati mwingine kanakuuliza leo unakula kwetu au unaenda kula kwenu, kwanza kwenu mnakulaga pilau na nyama ya kuku