Malezi ya watoto wa kishua

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Hua napatwa hasira na malezi ya watoto wa maboss ivi inakuwaje mtoto ataki kula chakula mpaka simu ndio ale chakula

Naona nitakuja kupasua mtoto wa mtu kichwa mtoto anajiliza mda wote bila sababu aki amua kulia mpaka mzazi kichwa kinawaka moto nitakuja kupiga vibaya nime amua niondoke tu kwa rafiki yangu mapema tu mtoto analia kama kengele
 
muache junior wetu, junior bila simu hali, mpe simu anyamaze
 
Nilitamani nimvute pembeni nimvute mashavu na kofi juu akalale usingiz watu tuna maongez muhimu yeye analia tu
Mbona alikustahi sana hapo,wengine unakuta anakurukia,anavuta nywele zako,anataka simu yako anakukera mpaka unasikia kijasho chembamba kinakutoka kwa hasira.Halafu Wazazi wake utasikia wanasema "huyu ni mtukutu sana" huku wanacheka
 
Utasikia "wee junior stop it" hapo Mama anasema huku anacheka.Nimemuelewa mleta mada,unatamani umfinye kimya kimya aende akalie huko na u junia wake
Kanaweza kuja kuchezea mpira palepale sebuleni halafu kanakubamiza mashuti ya uso huku kanacheka, wakati mwingine kanakuuliza leo unakula kwetu au unaenda kula kwenu, kwanza kwenu mnakulaga pilau na nyama ya kuku
 
Back
Top Bottom