roselyne1
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 1,365
- 93
sasa huyu mama yangu nae si ana kazi anafanya, ina maana aache shughuli zake ili anilele mtoto? Duu au unaongelea wamama wa nyumbani wasio na kazi, kazi yake ilikuwa kunilea mimi sio na watoto wangu tena, ebu tuwahurumie wazazi wetu, hawajaja duniani kuwa busy na watoto kila cku
circumstances zinadiffer mtu na mtu,
wengine wazazi wao wako available and fit kulea while some arent
kama wako circumstances haziruhusu inabidi utafute usaidizi mwengine,
na pia hili jambo sio la kulazimisha mtu,
am sure wazazi wako ni waelewa enough kukubali kulea mwanao ama kukataa,
nishasema pale juu,hakuna mzazi anayependa kuona mwanae akikwama mahali shule ama kazi kisa ulezi.
ndio maana wengi wanakubali kulea wajukuu!