AshaDii rudi haraka nimekumiss sana na umalizie bana
AshaDii mydia aksante kwa maelezo yako but naona leo akili yangu mh.....mengi yanazunguka humo. Nahisi kama sijakuelewa hapa kwenye dini, je unazungumzia sababu za kuachana au vipi maana kama mlishakubaliana tokea mwanzo wa mapenzi yenu na kisha mkajaaliwa m/watoto sioni dini itawaathiri vipi iwapo (samahani pengine nakosea) utahesabu kuwa watoto wanakuwa upande wa Baba??
However kwa wale ambao wanaoana dini tofauti athari ya malezi kwa mtoto naona sio mbaya saana but sometimes yaweza kua hata for the better… Yule mtoto anakua exposed to two sides of the religion i.e. Islam vs Christianity.. IMO naona kama mtoto anakua na exposure nzuri, na pia humuwekea busara Fulani ambayo imetokana na ile tolerance ya wazazi ya dini ya mtu mwingine na the like….
AshaDii hapo ndipo watu wanavyofanya kosa. Kama unajua kabisa una mtoto weka hilo wazi ili kukuweka wewe huru kumtembelea na kumpa huduma maana utakavyoficha ndo utengano kati yako na mtoto unapokuwa wa hali ya juu. Ni bora kuwa huru kuliko kuficha maana kuficha kwako ni kuwa mtoto unamweka katika wakati mgumu sana wa kutopata ukaribu wako kama mzazi haswa kwenye huduma na malezi
<br />MJ1 akili yako iko pouwa bana.... hapa nililenga kwa watoto ambao From one side ni wakristo and the other side ni waislam (hizo dini ni mfano mzuri for zimetawala hapa TZ) Alafu hao wazazi wakakutana na kuoana.... <br />
<br />
But hata upande wa wale ambao wazazi wa pande mbile wamesha oana ndio hii part imegusa hapo... (Hivo dhana ya kuachana sababu tu ya dini kwa kweli sio rahisi...)
....umeuliza maswali ya maana sana.
Katika hili, nachukulia muda ndio suluhisho la haya yote.
Katika kosa kubwa wanalofanya wazazi wengi ni pamoja na kumtaka mtoto
aanze kumwita mzazi mpya Baba/Mama... nadhani hii inaletesha confusion fulani kwenye akili zao.
Jingine ni la Kumpa heshima yake stahili baba/mama mzazi wa mwanao wa kambo.
Hapo wengi bado wanafeli kwa vijisababu vya kijinga kabisa. Kuna wale wanaodhani wakimu entertain
Ex-spouse wa mke/mume eti anakaribisha janga la wawili hao kurudiana. Ndio utayasikia ya " 'si mmeshaachana nyie!'
ya nini kupigiana simu na yeye kujileta hapa?"
As a Step parent all you can do is assist the parenting of the child bila ku-force chochote kile unless unaona mtoto anapotea..
Kwa ufupi utafanya yote unayoona ni sahihi kwa malezi ya mtoto kwa kumshirikisha mwenza wako (giving her/him first say) na kama biological parent wake yupo na ana busara na mwenza wako anakubali ashirikishwe basi inabidi ashirikishwe...
- Issue ya dini mwenza wako mwenye mtoto ndio atakuwa na first choice and all you can do ni kushauri na sio ku-force
- Biological father/mother kama yupo na is a good father/mother kumkataza mtoto asimtembelee baba/mama yake itakuwa si busara lakini as before (mwenza wako mwenye mtoto atakuwa na first say ) and all you can do is assist na itadepend na busara za mwenza huyo cause kama ni druggie then inabidi akae mbali sana na mtoto
...Maisha yanapelekea wengi wetu kujikuta tunaingia mahusiano mapya tayari tuna mtoto/watoto. Ili kuondoa ile hofu ya baba/mama wa kambo si sawa na 'mzazi'...Je? wazazi wapya (Step parent) tuna nafasi gani katika malezi na makuzi ya mtoto au watoto wa mume/mke?...
Utamlea na kumkuza unavyotaka wewe ukimhusisha mume/mkeo, au utamhusisha (biological) pia na mzazi wake?
Fikiria kwenye dhana ya mzazi wa kambo unavyoweza laumika/sifika kwa malezi ya mtoto/watoto hao.
Tafakari umuhimu wa visitation rights, baba/mama kumtembelea mtoto, au kumshinikiza mtoto aende likizo kwa baba/mamake.
Je, kipato, Imani ya dini, mila na desturi zina athari gani kwenye malezi ya mtoto/watoto hawa iwapo wazazi wanatofautiana dini, mila na desturi...?
...Mwanajamii One na Asha Dii mmegusia la maana sana hapo kwenye Imani ya Dini.
Mr.Rocky,...hitilafu zinaweza zikawa iwapo mzazi unataka wanao waendelee kufuata Imani za
dini kama ulivyowalea kipindi upo na mkeo.
Mfano, kwenda kanisani/msikitini, kwenda mafundisho/madrassa, kufunga Mwezi Mtukufu, nk nk
lakini kwasababu zisizoweza zuilika, tangu mmeachana na Ex-spouse wako ameamua kwa makusudi/kutofuatilia
mafunzo ya kiimani ya watoto.
[Huo ni mfano tu.]
Hitilafu nyingine ya malezi inaweza kuwa,
ulimjengea mwanao mazingira ya kusoma na kucheza kwa nyakati maalumu.
Tangu mmeachana na mzazi mwenzio, maendeleo ya mtoto kielimu,
na kimichezo kumeshuka...
Je, na hili unaamin i ni sababu tosha kung'ang'ania upewe mtoto umlee mwenyewe?
Au kuna umuhimu wa wazazi kukaa chini kupanga muafaka wa malezi ya mtoto/watoto hao?
MJ1 akili yako iko pouwa bana.... hapa nililenga kwa watoto ambao From one side ni wakristo and the other side ni waislam (hizo dini ni mfano mzuri for zimetawala hapa TZ) Alafu hao wazazi wakakutana na kuoana....
But hata upande wa wale ambao wazazi wa pande mbile wamesha oana ndio hii part imegusa hapo... (Hivo dhana ya kuachana sababu tu ya dini kwa kweli sio rahisi...)
Hitilafu nyingine ya malezi inaweza kuwa,
ulimjengea mwanao mazingira ya kusoma na kucheza kwa nyakati maalumu.
Tangu mmeachana na mzazi mwenzio, maendeleo ya mtoto kielimu,
na kimichezo kumeshuka...
Je, na hili unaamin i ni sababu tosha kung'ang'ania upewe mtoto umlee mwenyewe?
Au kuna umuhimu wa wazazi kukaa chini kupanga muafaka wa malezi ya mtoto/watoto hao?
Hapa inahitaji ushirikiano wa hali ya juu wa watoto hasa kama wana akili zao na wazazi husika. Watoto wengine hawana makuu hata pale mzazi wa kambo anataka kutoa discpline kutokana na kuvunja sheria za nyumbani pale, lakini watoto wengine huwa hawakubali asilani kuadhibiwa kwa namna moja au nyingine na mzazi wa kufikia akishatamka "you're not my father/mother" basi hapo uje huwezi kusikilizwa tena na inakuwa ngumu sana yule biological parent anapomuunga mkono na mguu mwanae kwamba wewe kama mzazi wa kufikia huna mamlaka yoyote ya kumpa adhabu ya aina yoyote mwanae pale anapokosea.
Pia chuki zilizojengeka kati ya Wazazi walioachana zinaweza kabisa kuchangia kuongeza ugumu wa malezi ya watoto hao hasa pale ambapo wanamuona mzazi mmoja ndiye mkosaji mpaka kufikia kwa ndoa kuvunjika.
Ni kazi mno kusema kweli lakini wengine wana bahati zao hupata watoto wenye tabia njema sana kama huwajui unaweza kudhani mzazi yule si wa kambo na hata Wazazi wengine pia huwapenda watoto wao wa kufikia kama vile ni watoto wao kabisa.
Aksante umeniamsha nadhani nilikuwa nimelala kidogo kiakili ndo maana nikawa nimeimiss point ya AshaDii.
AshaDii mamiii sasa nimekupata LOL shame on me (sijui kwa kuwa wangu ni mdogo hajafikia bado kwenye hizo changamoto za -niende dini gani) basi nikadhani am 'safe', So ni kama vile tuseme Ex wako ni dini tofauti na Spouse wa sasa; na kwa bahati m/watoto walifuata dini ya Ex wako; malezi hapa yanakuwaje mwe!! wawapikia watoto ftari wakati spouse analeta kitimoto nyumbani ?!!
Hujanielewa mimi nimesema mzazi biological parent ndio anafirst say wewe ambae mtoto sio wako all you can do is assist to the best of your capacity unless kama unaona kama anachofanya kitakuwa na madhara kwa mtotoSijakuelewa vizuri. Unataka kusema mwenza wako ambaye ni step mother/father ndiye awe kwanza kushirikishwa kwenye swala la mtoto asiye wake??? Mimi ni mmoja wa wamama ambaye I will die to have a say in raising up my kid labda kama sikumzaa.
AshaDii mamiii sasa nimekupata LOL shame on me (sijui kwa kuwa wangu ni mdogo hajafikia bado kwenye hizo changamoto za -niende dini gani) basi nikadhani am 'safe', So ni kama vile tuseme Ex wako ni dini tofauti na Spouse wa sasa; na kwa bahati m/watoto walifuata dini ya Ex wako; malezi hapa yanakuwaje mwe!! wawapikia watoto ftari wakati spouse analeta kitimoto nyumbani ?!!
...dahhh, hapo penye wekundu ni pazito sana kiongozi. Wazazi wengine hufikia hata kutamka, "nitakurudisha kwa baba/mama yako!"
hiyo yote ni kukosa busara. Kama Mwj1 alipogusia suala la kumshawishi mtoto amuite vipi Baba au mama wa kambo, ipi ni busara katika hili?
Unapoanza kumjengea mtoto akili kwamba yeye ni wa 'kambo,' nadhani kidogokidogo unaanza kujenga resentments. Kwangu mimi huo mfano wa kumwita mtoto 'Uncle' ina workout vizuri zaidi, kwani unamuwekea mazingira ya kukuheshimu kama mlezi wake angali anatambua Baba yake Mzazi ana cheo chake mahsusi kwenye mahusiano yenu.
Mbu hapo kwenye blue... (Sorry katika mada yako nimelenga saana anakoelekea mtoto kuliko kabla ya wazazi kuachana for shida kubwa iko hapo); Ni wazi kua wazazi wamepishana kufuatilia watoto na nafasi wachezayo katika maisha ya mtoto hata kama kipato ni sawa... Mie naona ni bora wahusika wanapoachana, sio wakomoane (Umenikumbusha Thread ya RR)... Kama you know kua mwenza wako is the best parent kati yenu, it is better toka ile ile mwanzo mnaachana mkubaliane kua huyo mtoto awe mikononi mwa best parent, huku yule mwingine nae akiwa karibu... For believe me you, kama alishindwa toka mwanzo, ina maana ndo alivo and it is in her/his nature kushindwa kufanya hivo....