MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Wazazi wenzangu hili linawahusu sana.

Naomba kila mmoja mwenye mtoto anayesoma azingatie na kulitilia uzito kwa kufanya ufwatiliaji wa kina. Iko hivi, jana wakati natoka kutekeleza majukumu yangu, nikiwa barabarani nilipishana na gari la shule. Jina la shule na namba ya gari navihifadhi. Ndani yake lilikuwa na watoto wa jinsia zote. Maana nilipiga jicho kwa haraka kwakuwa nilikuwa speed kwenye highway.

Hakika nilistushwa na nilichokiona. Siti ya tatu kutoka nyuma niliona watoto wawili wakiume wakiwa wanafanya "deep kissing" . Walikuwa wanafanya romance. Niliogopa na kushtushwa sana huku nikitamani kumwambia dereva asimame na kuwakanya hao watoto. Sikuweza maana highway tuliyopo ilikuwa busy sana. Niliendelea na safari yangu kwa masikitiko makubwa sana.

Nilitafakari hali ya sasa ya vijana wetu wengi wakijihusisha na vitendo vya ushoga. Safari yao ya ushoga ama u lesbian huanzia huku. Huanzia huku kwenye magari ya shule ambapo matron anakaa kiti cha mbele na dereva wakiwaacha watoto wakiiga yale wanayoyaona kwenye TV. Nilishtushwa kuona watoto wetu wakiyatenda haya huku tukiamini watoto wetu wapo salama.

OMBI:
Wazazi fuatilieni kama magari ya shule yana muangalizi/patron/matron wa watoto wenu. Na mhoji namna matrons wanavyo angalia watoto wakati wa kuwarudisha na kuwachukua majumbani.

Pia kama mtoto wako ni wa mwisho kushushwa au wa kwanza kuchukuliwa amini ipo hatari juu yake. Madereva wa watoto wetu wapo ambao sio waaminifu. Huwafanya vibaya watoto wa mwisho kuwashusha na hata wale wa kwanza kupanda.

Ongeeni na watoto juu ya shule wanazosoma. Kulipa ada kubwa hakutamsaidia mtoto kama hakuna ufwatiliaji. Mtoto anaweza akawa na maendeleo mazuri darasani na ukaridhika kabisa yupo shule nzuri. Maendeleo yakakutia motisha kutafuta ada. Lakini mali bila daftari hupotea bila habari. Elimu bila ufuatiliaji ni kazi bure.

Ushoga au u lesbian hauji kama ajali. Huwa na mwanzo wake. Tunaweza kuwaokoa watoto wetu kwa kuwafuatilia kuwa na uzazi shirikishi i.e Mwalimu, Dereva, Matron, Mzazi na Taaluma.

Muwe na malezi mema. Sambaza ujumbe huu kuokoa watoto.

Goodluck Mshana
===========

Mada hii imesomwa pia kwenye kipindi cha JAMII LEO..

Wazazi wenzangu hili linawahusu sana. Naomba kila mmoja mwenye mtoto anayesoma azingatie na kulitilia uzito kwa kufanya ufwatiliaji wa kina. Iko hivi, jana wakati natoka kutekeleza majukumu yangu, nikiwa barabarani nilipishana na gari la shule. Jina la shule na namba ya gari navihifadhi. Ndani yake lilikuwa na watoto wa jinsia zote. Maana nilipiga jicho kwa haraka kwakuwa nilikuwa speed kwenye highway.

Hakika nilistushwa na nilichokiona. Siti ya tatu kutoka nyuma niliona watoto wawili wakiume wakiwa wanafanya "deep kissing" . Walikuwa wanafanya romance. Niliogopa na kushtushwa sana huku nikitamani kumwambia dereva asimame na kuwakanya hao watoto. Sikuweza maana highway tuliyopo ilikuwa busy sana. Niliendelea na safari yangu kwa masikitiko makubwa sana.

Nilitafakari hali ya sasa ya vijana wetu wengi wakijihusisha na vitendo vya ushoga. Safari yao ya ushoga ama u lesbian huanzia huku. Huanzia huku kwenye magari ya shule ambapo matron anakaa kiti cha mbele na dereva wakiwaacha watoto wakiiga yale wanayoyaona kwenye TV. Nilishtushwa kuona watoto wetu wakiyatenda haya huku tukiamini watoto wetu wapo salama.

OMBI:
Wazazi fwatilieni kama magari ya shule yana muangalizi/patron/matron wa watoto wenu. Na mhoji namna matrons wanavyo angalia watoto wakati wa kuwarudisha na kuwachukua majumbani.

Pia kama mtoto wako ni wa mwisho kushushwa au wa kwanza kuchukuliwa amini ipo hatari juu yake. Madereva wa watoto wetu wapo ambao sio waaminifu. Huwafanya vibaya watoto wa mwisho kuwashusha na hata wale wa kwanza kupanda.

Ongeeni na watoto juu ya shule wanazosoma. Kulipa ada kubwa hakutamsaidia mtoto kama hakuna ufwatiliaji. Mtoto anaweza akawa na maendeleo mazuri darasani na ukaridhika kabisa yupo shule nzuri. Maendeleo yakakutia motisha kutafuta ada. Lakini mali bila daftari hupotea bila habari. Elimu bila ufwatiliaji ni kazi bure.

Ushoga au u lesbian hauji kama ajali. Huwa na mwanzo wake. Tunaweza kuwaokoa watoto wetu kwa kufwatilia kuwa na uzazi shirikishi i.e Mwalimu, Dereva, Matron, Mzazi na Taaluma.

Muwe na malezi mema. Sambaza ujumbe huu kuokoa watoto.

Goodluck Mshana
Asante Mshana kwa taarifa na angalizo, lakini usiishie hapa, kama jina la shule unalo na wewe ni mzalendo fuatilia hadi shuleni ili kuwasaidia hawa watoto, ufuatiliaji uanzie kwako.................
 
Umenena vema sana Mr.Goodluck,.Sema kama ambavyo umesema ulishindwa kusimamisha hiyo school bus lakini hicho kitendo na vingine vya kufanana na hivyo ni vitendo viovu sana na vinavyoharibu sana watoto wetu na vijana wetu hasa hiki kizazi cha sasa ambapo utandawazi umeweka kila kitu right infront of our childrean eyes bila kujali umri wao,VINAPASWA KUKEMEWA NA KUPIGWA VITA KWA NGUVU ZOTE.
Vinaharibu jamii yetu na vinaharibu utamaduni wa nchi yetu na vinaathiri nguvu kazi ya taifa hili.
Una wawakilisha wazazi wengi ambao hawakufahamu haya kama yanatendeka,Na nafikiri kupitia shuhuda hii umewafumbua macho na umewahamasisha wazazi kuwa majukumu yao hayaishii tu wakishalipa ada za watoto wao.
MUNGU TUSAIDIE,MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI.
 
Endapo waliokulea wangekuwa na majibu mepesi na maisha ya mzaha kama yako huenda usingeweza kutumia hata hiyo simu uliyotumia kujibu. Tupo kwenye wakati mgumu na muhimu wa kulijenga Taifa letu.

kumbuka sijajibu kwa mzaha kama unavyofikiri!nmatendo namna pekee ya kumfundisha mtu mweusi ni kwa njia ya matendo sio kwa kusikia!
Hivi ni nin kimetufikisha kwenye wakati mgumu?
 
Wewe huna lolote umeleta umbeya hapa kama kweli hilo tendo limekugusa,na ukiwa kama mzazi au future mzazi kama una mbegu, ungelisimamisha hilo basi na kutoa report kwa huyo matron uliyemuona kakaa siti ya mbele,mimi huku niliko niliwaona watoto wa shule wanavuta sigara wakiwa wamevalia uniform za shule,nilichofanya kama mzazi,niliwapiga picha instantly,then nikaenda kwa headmistress wao,nilivunja shughuli zangu zote.
 
Ushoga na usagaji ni tatizo kubwa sana kwa watoto wadogo katika hii nchi kuliko tunavyofikiria.

Juzi juzi nimeoneshwa video clip ya watoto wadogo wa primary school wakikiri kwa waalimu wao kuwa, ashaakum si matusi, wanafirana.

Kabla ya kuoneshwa tukio hilo niliwahi kuoneshwa clip ya mzazi akiongelea jinsi mwanawe wa kiume wa miaka 12 alivyoharibiwa.

Licha ya kusikia habari nyingi sana za watoto kufirana na kusagana kwenye shule mbali mbali hususan za mabweni pia niliwahi kusoma article ya Father Kit Cunningham wa huko Soni alivyokuwa akifirana na wanafunzi wa takriban shule nzima.

Hili ni tatizo la kitaifa na tunashauri wakaguzi maalum wateuliwe na kusambazwa mashule yote kuangalia na kufanya uchunguzi wa kina ili tuwanusuru taifa la kesho

Ni msiba.
 
Uzi muhimu kama huu wa kulinusuru taifa la kesho ndiyo umekosa wachangiaji. Hii inaonesha ni vipi tatizo hili ni kubwa kupita kiasi na wengi dhamira zinawasuta (guilty conscious) hadi wanashindwa kuchangia.

Msikimbie vivuli vyenu, jitokezeni muwe wa kweli, ndiyo tiba pekee. Mtajificha mpaka lini?
 
Wanasubiri Thread za Wema Sepetu au Diamond!
 
Hii inasikitisha na kufedhehesha sana kwa kweli. Mimi kama mzazi nimepata fedheha ya ajabu. Eeeeh Mola tunaomba utunusuru.
Mbona hivi vitendo vinakuwa kwa kasi hivi jamani!!??? Tatizo liko wapi? Ni ubusy wa sisi wazazi au utandawazi wa nyakati tulizopo.

Hiyo Clip anayozungumzia Faiza Foxy mimi binafsi niliiona na kusikitika sana wale watoto walivyokuwa wanaelezea kwa undani hiyo michezo michafu ilivyokuwa ikitendeka.

Sisi kama wazazi wa kipindi hiki inabidi tujiulize na kujitathmini tumekosea wapi!!!!
Tunakoelekea KUNATISHA ZAIDI. TUCHUKUE TAHADHARI MAPEMA.
Asante bwana Goodluck Mshana kwa kumulika kurunzi kwenye hili JANGA LA KITAIFA.
 
Back
Top Bottom