MALEZI: Mzazi, Usimpe mtaji mwanao!

MALEZI: Mzazi, Usimpe mtaji mwanao!

Waafrika kwa kujifanya tumezoea shida[emoji134][emoji134]
 
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu.

Wazee wengi tunakwama hapa.
Saf
 
Alichoongea kina mantik, japo mnakikataa bila hoja za msingi

Mtaji wa kujitafutia mwenyew unakua na uchungu nao sana kuliko na mtaji wa kupewa. Siunajua kesho utapewa tena ata ukikata.
tatizo lenu mnazaa sana
mbona wahindi na ngozi nyeupe inarithisha watoto km Baba ni Mwanasheria na mtoto hapohapo atasaidiwa Elimu mpaka ofisi
sasa unakuta Baba anacheza bao kijiweni wake wa4 watoto 22 ni misifa tu apokee mahari apokee wajukuu mwisho familia tegemezi
Mpe mtoto mtaji wa Elimu na vaianzio pesa na nyumba ni muhimu la sivyo ndio hawa chokoraa na wezi
 
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu.

Wazee wengi tunakwama hapa.
Nyie ndio wale madingi wenye roho za kimasikini na za kizandiki!;
 
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu.

Wazee wengi tunakwama hapa.
Akili za kimasikini hizo.Mfundishe mwanao kuendesha kampuni.
 
Yani nyie madingi wa kibongo ni wanoko, Juzi nilisikia zee moja hapa mtaani, linasema kijana wake akimaliza chuo halitaki kumuona nyumbani. Eti aanze kujitegemea huko huko.
Wakizeeka wanaanza kukutafuta kwenye media wanaoba misaada, wanasahau ulianzia maisha huko huko.
 
Ficha ujinga wewe! unadhani baba yake alimpatia miburungutu ya pesa siyo!!
Sasa unafikiri alimpa nini?Hata kama hakumpa pesa lakini alikuwa na base ya kuanzia.Huwezi mtupia ndege jiwe ukiwa unaelea hewani lazima uwe umesimama mahali.
Baba mzee DEWIJ alimpa msingi mwanaye bahati nzuri mtoto alikuwa msomi shahada ya masters.ya uchumi chuo kikuu cha Washington.Ndio mtoto katumia elimu yake kaifanya biashara kuvuka mipaka kuwa ya kimataifa
Naongea ninachokijua dogo hii.familia ninaijua toka miaka ya mwanzo ya 60 tunatoka wilaya moja si ajabu wewe ulikuwa hujaliona jua
 
Mawazo yako yana harufu ya maradhi. Vipi mwanangu nisimpe mtaji eti kwa sababu kasema mwanamke wa kuoa atatafuta mwenyewe
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu.

Wazee wengi tunakwama hapa.
 
Bora huyo anayesubiria amalize chuo,mimi mtoto wangu siku anayo sherehekea birthday ya 18yrs.....wakati rafiki zake wanaondoka anatakiwa aondoke nao akiwa anaelekea kwake. Kinyume na hapo labda awe bado anasoma,na kama anasoma...shule ndio kodi yake akimaliza shule na kifurushi chake kinakata
Yani nyie madingi wa kibongo ni wanoko, Juzi nilisikia zee moja hapa mtaani, linasema kijana wake akimaliza chuo halitaki kumuona nyumbani. Eti aanze kujitegemea huko huko.
 
Njia bora kabisa ya kumuandaa mtoto kukabiliana na mikimiki ya hii Dunia
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu.

Wazee wengi tunakwama hapa.
 
Alichoongea kina mantik, japo mnakikataa bila hoja za msingi

Mtaji wa kujitafutia mwenyew unakua na uchungu nao sana kuliko na mtaji wa kupewa. Siunajua kesho utapewa tena ata ukikata.
Point.
 
Kwanza siyo rahisi kupata mtaji wa kuanzia biashara, vijana wengi wamekwama kwenye kupata mitaji. Pili si kweli kwamba pesa ya kupewa na mzazi haiumi, mimi nikipoteza pesa yangu siumii kama ambavyo nitapoteza pesa ya Familia maana naogopa kudharaulika na kupoteza uaminifu so lazima nikomae mwanzo mwisho ili kuhakikisha siwaangushi wazee, hata ikitokea nimefeli iwe kwa sababu zingine ambazo zitakuwa za wazi si kwa kufanya uzembe. BTW sisi wengine wazee wetu hata mtaji wa laki ya kukupa hana so najiwazia tu kama ningekuwa natoka familia fln hv yenye uwezo...
 
Wengi wa wanaopinga hapa, wanasubiria mali za urithi
Ahaaaa ila mkuu hata Dewji anaendesha mali za Urithi na amezikuza sana.

Watu weusi hatupendi watoto wetu wafanikiwe, ndio maana mzazi akifa biashara zinakufa watoto wanauza mali n.k
 
Kanuni ni ileile.. Asipewe hela ya kuanzisha biashara/mradi, bali apewe mtaji wa kukuza biashara/mradi aliouanzisha mwenyewe kwa jasho lake na kwamba umekuwa endelevu kwa angalau miaka 2-5 kwa jitihada binafsi.. Akipewa fedha ya kuanzisha mrad ambao hajawah kuufanya mwenyew, hela itakata.
Mbona Moo alipewa na hajapoteza. Hv mnazungumzia biashara za Level ipi na mtaji wa Level ipi. Kuna mambo lazima mfikirie mnaposema mtoto asipewe mtaji, chukulia mfn mwanao amesomea mambo ya Biashara na anataka kuanzisha kampuni inayohitaji labda 50M lakini hana mtaji halafu wewe mzazi unamiliki 200M. unaweka sheria yako eti atafute mwenyewe ndo aanze, mtu anapataje 50M from the ground?
 
Bora huyo anayesubiria amalize chuo,mimi mtoto wangu siku anayo sherehekea birthday ya 18yrs.....wakati rafiki zake wanaondoka anatakiwa aondoke nao akiwa anaelekea kwake. Kinyume na hapo labda awe bado anasoma,na kama anasoma...shule ndio kodi yake akimaliza shule na kifurushi chake kinakata
Kama wakike itakuwa umeozesha bure mzeebaba. Mi nitahakikisha nafanya kila liwezekanalo wanangu wakute mazingira Bora, watapata Elimu bora, maisha bora na mitaji wakitaka. Kama kushindwa washindwe wenyewe tu. Siwezi kuwaacha wanangu wawe watoto wa mbwa kama ninavyokuwa mm saiv
 
Hawa ndo sampuli ya Baba Diamond halafu wakisanda wanaanza kujilizaliza kutafuta huruma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom