ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
- Thread starter
- #101
Baada ya hayo yote tafuteni kitabu cha The testatament mwandishi ni john grisham !!!siyo mnalialia tu hapa.
Ndomana sishangai watu wanaishi maisha ya garama mjin wakifa tukiwapeleka kwao tunakuta wazazi wao wanaishi kwenye vibanda vyakukuSasa unafikiri alimpa nini?Hata kama hakumpa pesa lakini alikuwa na base ya kuanzia.Huwezi mtupia ndege jiwe ukiwa unaelea hewani lazima uwe umesimama mahali.
Baba mzee DEWIJ alimpa msingi mwanaye bahati nzuri mtoto alikuwa msomi shahada ya masters.ya uchumi chuo kikuu cha Washington.Ndio mtoto katumia elimu yake kaifanya biashara kuvuka mipaka kuwa ya kimataifa
Naongea ninachokijua dogo hii.familia ninaijua toka miaka ya mwanzo ya 60 tunatoka wilaya moja si ajabu wewe ulikuwa hujaliona jua
Kuna jambo wazazi huwa tunakoseaNa huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.
Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu.
Wazee wengi tunakwama hapa.
Na unampampa vijipesa uone anavitumiaje...siyo umjazie duka la rejareja wakati hata bidhaa za jumla hajui unatoa wapi!!Yeye ni vitabu,remoti na simu tu. Huyo ni hasara. Mwache aanzishe kitu chake halafu umsapoti.Kuna jambo wazazi huwa tunakosea
Sidhani kama ni busara kutoa mtaji kwa Kijana au binti yako
Hakuna ujuzi mzuti kama mtoto kijifunza kutoka kwenye kile ambacho huwa anakuona unakifanya kila siku na wakati fulani huwa unamtuma akifanye kwa niaba yako
Fani zifuatazo ni rahisi sana kumfundiaha mwanao na akawa nzuri kwenye maeneo hayo alimradi tu utakubali utuke nae akajifunze
Ujenzi
Welding
Plumping
Garage(ufundi)
Biashara za duka
Kilimo
Ufugaji
Hakika nakwambia nenda nae mtume afanye tena hata ikibidi mlazimishe utajenga raia mwema sana kwenye maisha ya dunia hii kuliko hayo madudu ya kileo
Msomeshe lakini utamaduni huu usimnyime mpe awe nao kwa vitendo
Ahaaaa ila mkuu hata Dewji anaendesha mali za Urithi na amezikuza sana.
Watu weusi hatupendi watoto wetu wafanikiwe, ndio maana mzazi akifa biashara zinakufa watoto wanauza mali n.k
Mbona Moo alipewa na hajapoteza. Hv mnazungumzia biashara za Level ipi na mtaji wa Level ipi. Kuna mambo lazima mfikirie mnaposema mtoto asipewe mtaji, chukulia mfn mwanao amesomea mambo ya Biashara na anataka kuanzisha kampuni inayohitaji labda 50M lakini hana mtaji halafu wewe mzazi unamiliki 200M. unaweka sheria yako eti atafute mwenyewe ndo aanze, mtu anapataje 50M from the ground?
Hawa ndo sampuli ya Baba Diamond halafu wakisanda wanaanza kujilizaliza kutafuta huruma.