Malecela: Tunafanya makosa makubwa sana kumfananisha Hayati mwalimu Nyerere na Rais wa sasa Magufuli

Katika majuha wewe ni juha kubwa lao,hakuna mtu aliyebana uhuru wa kujieleza na demokrasia naa kutaka kusujudiwa kama Nyerere na nchi ilimshinda ndiyo maana akang'atuka.

Nyerere aliwaweka watu kizuizini hadi wengine wakaikimbia nchi i.e kambona leo wapinzani mmesahau?

Kwamba Nyerere nchi 'ilimshinda' baada ya kuongoza kwa miaka 25!!

Umri wako tafadhali!
 
Wanufaika wa utawala dhalimu hamuwezi kuacha kumtukuza dikteta. Leo unamdharau Nyerere na kusema aliendesha miradi ya kurithi? Kufaidika na ufisadi wa Magufuli anaoufanya Chato kusisababishe mumtukane Baba wa Taifa.
Kama unaona Nyerere anatukanwa acha sasa kumtukana Magufuli, muacheni afanye anachokionaa sahihi na nyinyi jipangeni mjemfanye mnachokiona siyo sahihi mtakapochukua nchi.

Nyerere aliweka watu vizuizini,wengine kukimbilia nje,kuzuia uhuru wa habari i.e tv,n.k hayo hamuyaoni ila mnaona ya Magufuli tu.

Msiwe wachumia mdomo na kutanguliza dhiki zenu muonekane wema kwa waananchi, huu siyo wakati wenu.

Upinzani wenu hautekelezeki hapa duniani ni wa majungu tuu hamsemi nyie mmefanya nini hadi sasa midomomidomo tu.
 
Umoja wa kitaifa na amani ya nchi yetu ni vitu vikubwa alivyojenga Nyerere!Hii ni zaidi ya mradi wowote wa maendeleo!
Lakini mnajifanya wehu,mmesahau viwanda alivyoanzisha Nyerere ambavyo mlikuja kuviua?
Acha fikira za kulishwa kenge wewe viwanda vya Nyerere vilianza kufa kabla hata hajaondoka madarakani na alipoonaa mambo ni magumu akajifanya kung'atuka ni kitu ambacho mnajifanya hamkijui ili kuonekana mna sera.

Huwezi ukaanzisha viwanda vikadumu pasipo kuandaa chanzo cha malighafi na masoko.

Hivyo viwanda vya Nyerere viliuza wapi bidhaa zake?
 
Unajua General tyres ilikufa lini?Au unaleta tu porojo hapa!
Haya,hebu orodhesha viwanda alivyoanzisha JPM!Msitutajie vyerehani vinne!shwain
 
Magufuli anafanana sana na Paul Kagame tu.
Na kwa waAfrika bila kiwapeleka Kikagame au Kimagufuli hawaendi.

Nyerere alitulea sana kama wazungu na waarabu waliowaletea dini mnazoabudu waliwachap viboko baaada ya kiwaona hamiendi sembuse Kagame na Magufuli?

Acheni utoto wa mama nchi lazima ipitie magumu ndiyo iendelee.

Je wewe unaonaje katika marais wanaofanya vizuri Afrika Kagame yumo au hayumo.
 
Kweli watu wengine wajinga,hivi huu ujinga mtaacha lini? Jaribu kuzunguka nchi jirani hata Ulimwengu mzima ndio utajua umuhimu wa Nyerere hata hiki kiswahili unachokiandika kama siyo Mwalimu Nyerere sijui ungekiandika.
Kwani kiingereza nacho hakukitukuza Nyerere?mbona alishindwa kuingiza kiswahili katika mitaala ya elimu hadi leo tunatumia kiingereza mashuleni?

Kila kiongozi anavipaumbele vyake bwana subiri mpate madaraka mfanye hayo yenu sivyo mtaendelea kuishia kkuyaleta himu tuuuuuu then kwisha.
 
Kuna ID mpya nyingi sana zinaibuka zikimponda JPM nahisi ni MATAGA wameshaanza kuujua ukweli baada ya chumvi walizohongwa wakati wa kampeni kuisha
Toa hoja kwa ushahidi siyo uchochezi.

Zitaje hizo ID mpya zilizoibuka zinazomponda JPM.

Huo ni umalaya!!
 
I beg to differ with you.The late mwalimu at least he possessed all qualities of good leader, I take JKN as an example the way he respected our constitution,honest,pious and charismatic leader unlike to our currently demi god who never listens advice from others.
Ukiwa kiongozi siyo kila ushauri unaopewa inakubari tu changanya na akili zako.

Ushauri gani kutoka kwenu wapinzani au kwingine?

Nyie wapinzani mlioshindwa kujenga hata ofisi ya chama chetu tu ndiyo apokee ushauri wenu?

Kweli wewe ni juha!!
 
Ngoja aamke asubuhi aamue bahari ipite kwenye majengo ndo MTAJUA HAMJUI..........kwani kusikiliza ushauri ni sh ngapi? hakuna mtu ameumbwa anajua kila kitu ....PERIOD
 
Nyerere is overrated.
Moja ya viongozi wachache waliopewa heshima na Utawala wa Malkia kutoa Speech pamoja na Utawala wa JFK wakati huo watu mnakuja na cheap comments Overrated how wakati kuna mtu afanye afanyavyo umoja wa Africa tu kutoa speech ni issue, sembuse United Kingdom
 
Eti nini? Nyerere na Magufuli? Ebu acheni ujinga. Ni Magufuli yupi, huyu wa Chato!?! Kwa kifupi, huu ni upumbavu kumfananisha Nyerere na Magufui. Magufuli haingii hata robo kwa Nyerere. Kumfananisha na Nyerere ni ama dharau au ujinga uliopitiliza.
 
Kwani kiingereza nacho hakukitukuza Nyerere?mbona alishindwa kuingiza kiswahili katika mitaala ya elimu hadi leo tunatumia kiingereza mashuleni?

Kila kiongozi anavipaumbele vyake bwana subiri mpate madaraka mfanye hayo yenu sivyo mtaendelea kuishia kkuyaleta himu tuuuuuu then kwisha.
Kama kuingiza kiswahili kwenye mitaala sitisheni kusomesha watoto wenu International schools wasome tu za kata mnakimbilia kupeleka watoto shule bora waacheni wapambane na kiswazi ............shule za kata hazina hata watoto wa viongozi baadae unasikia mtu anapigia kelele mitaala ya mwingereza khaa....
 
Aisee Nyerere alikua dikteta .aliwatesa sana watu waliompinga hayo maneno yake wala usiyaweke akilini, yeye mwenyewe hakuyaishi
 
aisee nyerere alikua dikteta .aliwatesa sana watu waliompinga hayo manene yake wala usiyaweke akilini, yeye mwenyewe hakuyaishi
Kwa hiyo unataka kutuaminisha hapa kwamba Nyerere ni sawa na/(equal proportion to) Idd Amin....? ili tuamini historia yako tuweke kwenye vitabu?
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha hapa kwamba Nyerere ni sawa na/(equal proportion to) Idd Amin....? ili tuamini historia yako tuweke kwenye vitabu?
Hapana hakuwa level za Iddi Amini, ila alitesa watu waliompinga, Oscar Kambona na familia yake ni mfano hai
 
hapana hakua level za idi amini, ila alitesa watu waliompinga,Oscar kambona na familia yake ni mfano hai
Tukupe wewe Urais halafu usiwe na Hater hata mmoja inawezekana? hapo kitaa tu tayari una wana huelewani nao huwezi kuniconvice wewe hunamisunderstandings hata 1, kila mtu anamwelezea Oscar Kambona ili mtu aitwe kweli dikteta orodhesha hapa hata watu 10 tu unaowafahamu.
 
Back
Top Bottom